love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Na ukitafta machapisho yake mtandaoni hayazidi 20 reseachgate tena hayo mengi sio main author.Sasa nani kamchafua wakati MCT wenyewe ndiyo wamesema kuwa Dr Janabi si Daktari bingwa wa moyo?…sasa kosa la mtoa mada kuleta habari zilizoandikwa kwenye tovuti ya MCT? Basi wewe tuambie ukweli kinyume na huo wa MCT chombo kinachomsimamia Dr Jana
na FCC machapisho hayazidi tisa nayenyewe mengi sio main author.
Ila yeye anasema anamachapisho zaidi ya 80.