Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Hao wanaomuita kihiyo hawawezi kufanya kazi alizozifanya akimtibu JK na hata hapo Muhimbili kwa miaka yote aliyotibu. Mbongo anaweza kuwa darasa la saba tu akamkashifu profesa wa chuo kikuu, tuna stupid mindsets.
Jk alikuwa anamtibu homa na malaria tu, Jk alipoumwa tezi dume alikimbilia Marekani
 
Mapya yanazidi kufumuka
 
Alipokuwa wizara ya afya yule mama niligundua ni chuma cha pua, katibu mkuu wa wizara aliwashiwa moto 😀😀, kwanza wamtoe huku ustawi wa jamii
 
Alipokuwa wizara ya afya yule mama niligundua ni chuma cha pua, katibu mkuu wa wizara aliwashiwa moto 😀😀, kwanza wamtoe huku ustawi wa jamii
We are talking about Dr Dorothy Gwajima (na uwezo wake wa health management).

Tatizo kubwa la Tanzania sio Samia, wala CCM na alijawahi kuwa raisi wa Nchi.

Shida ipo kwenye civil services na katiba.

Maelezo yanataka paper, there is no way idara ya usalama makini na nchi yenye fikra ya kuendelea ingeruhusu wamtoe mtu waliomtengeneza kuwa replaced na poyoyo kama Ummy Mwalimu.

At this point, I can confidently say that; we don’t know how to run a country and be able to to defend that premise confidently.
 
Hana
MMED, fellowship sio lazima MMED. Acha kujikuta. Acha uongo na upotoshaji. Hana MMED. Muhimbili mabingwa Huwa wanamchukulia kama mbabaishajo miaka yote. Huyo ana ki masters (Msc) Cha tropical medicine. Kwanza kwa miaka yao ukishaona mtu kahitumu nchi za USSR ujue Hana akili.
 
Usisahau Pia aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa Dr Nyambura Moremi..
Naye ameandikiwa Na MCT ana PhD Bila kuwekewa MMED au Msc aliyosoma..
 
Unavyoongea pumba kwa kujiamini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…