Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Hao wanaomuita kihiyo hawawezi kufanya kazi alizozifanya akimtibu JK na hata hapo Muhimbili kwa miaka yote aliyotibu. Mbongo anaweza kuwa darasa la saba tu akamkashifu profesa wa chuo kikuu, tuna stupid mindsets.
Jk alikuwa anamtibu homa na malaria tu, Jk alipoumwa tezi dume alikimbilia Marekani
 
MKuu nimejaribu kufuatilia hata hiyo fellow ship ya moyo janabi kama amefoj, FCC wanasema fellowship ya moyo ni kwa waliosoma cadiology baada ya internal medicine kwa watu wazima au watoto.
Pia wenzake wenye fellowshi kama hizo mfano levina msuya fellowship yake pale mct wameiweka manake inatambulika ila ya janabi haitambuliki.
Nawasi wasi hiyo fellowaship hana.
Mapya yanazidi kufumuka
 
Hii ni mada ya kitoto sana.

Medical practice ni very regulated.

Uamki asubuhi moja na kuwa surgeon hasa wa ubongo au moyo (Hakuna shortcut) you have to undergo rigorous training.

Huo ni utaratibu wa shughuli ya upasuaji wowote hadi kupata hiko kibali na sio shughuli ya kitoto.

Shida ya Janabi ni limitations zake kwenye medical field zingine.

Medicine ni discipline pana; na wazi kwa ushauri wake wa diet hana elimu pana ya nutrient.

Lakini kusema mtu anaweza kuwa surgeon bila ya training dah hiyo hapana.

Shida labda inaweza kuwa quality of training. Kuna siku niliwahi kumsikia akiongelea magonjwa ya moyo after that nikajisemea (there is no way, nitakubali Janabi apasue kifua changu).

Similarly nikisoma mada za JF jukwaa la afya kuhusu type two diabetics, uelewa wa wachangiaji wa madaktari wetu kuhusu pathophysiology ya ugonjwa unanipa mashaka sana na tiba wanazotoa.

Kuhusu teuzi ya raisi

Mshauri wa maswala ya afya lazima awe na uelewa wa health management

Kwa nafasi ya Janabi hadi kuwa mkuu wa kutio kama Muhimbili. Hata kama ajapitia succession planning ya wenzake kama hakina Dorothy Gwajima (kwenda kusoma shahada za public health). Itakuwa ni upuuzi wa hali ya juu kwa mamlaka ya teuzi kama ajapewa hata management training skills zingine through succession planning.

Iła nimesikiliza interview kadhaa za Janabi akiongelea afya, I am not convinced.

Ila watanzania tuachane na demeanour ya uanamke sana (ambayo inaweza fanya umchukulie poa), ‘Dorothy Gwajima’ lakini sio wa mzaha-mzaha kabisa kwenye usimamizi wa afya.

The woman is actually a proper technocrat. Kwenye management ya afya yaani sio wa mzaha-mzaha hata kidogo. Ni proper technocrat.

Achana na machawa wanao-support ilimradi na wao waonekane wamo, hee mama unaupiga mwingi mradi wamesemema, ohoo we mama nakupenda kwa sababu za ujinga tu.

But in fact Dorothy Gwajima ni proper health management technocrat achana na demeanor zake za kike sana.

You just don’t know
Alipokuwa wizara ya afya yule mama niligundua ni chuma cha pua, katibu mkuu wa wizara aliwashiwa moto 😀😀, kwanza wamtoe huku ustawi wa jamii
 
Alipokuwa wizara ya afya yule mama niligundua ni chuma cha pua, katibu mkuu wa wizara aliwashiwa moto 😀😀, kwanza wamtoe huku ustawi wa jamii
We are talking about Dr Dorothy Gwajima (na uwezo wake wa health management).

Tatizo kubwa la Tanzania sio Samia, wala CCM na alijawahi kuwa raisi wa Nchi.

Shida ipo kwenye civil services na katiba.

Maelezo yanataka paper, there is no way idara ya usalama makini na nchi yenye fikra ya kuendelea ingeruhusu wamtoe mtu waliomtengeneza kuwa replaced na poyoyo kama Ummy Mwalimu.

At this point, I can confidently say that; we don’t know how to run a country and be able to to defend that premise confidently.
 
Hana
Sometimes Kama hujui Kitu ni Bora Kukaa Kimya Tu..
Fellowship ya Moyo..
A cardiac Fellowship ina Lasts kwa Miaka 3 Na wanakuwa kwenye Clinical na Research Trials Nyingi..
Clinical nyingi wanafanya huwa zinahusisha Cardiovascular..
na Ndo maana Ni lazima anayeenda fellowship ya Moyo Awe amemaliza MMED..

Na Kama akimaliza Ata attain FACC title.. physician (MMED internal Medicine ) who has completed a cardiac fellowship may earn the title "Fellow, American College of Cardiology" (FACC) na Hiyo Huwa Ni Super..
sijui Unaelewa..

Mimi nimeenda Fellow Ya Neonatology na Ni super na Ninakuambia Hichi Nikiwa Ninajua ninachoKiongea siropoki..

Just Niulize swali lolote nitakujib
MMED, fellowship sio lazima MMED. Acha kujikuta. Acha uongo na upotoshaji. Hana MMED. Muhimbili mabingwa Huwa wanamchukulia kama mbabaishajo miaka yote. Huyo ana ki masters (Msc) Cha tropical medicine. Kwanza kwa miaka yao ukishaona mtu kahitumu nchi za USSR ujue Hana akili.
 
Hana

MMED, fellowship sio lazima MMED. Acha kujikuta. Acha uongo na upotoshaji. Hana MMED. Muhimbili mabingwa Huwa wanamchukulia kama mbabaishajo miaka yote. Huyo ana ki masters (Msc) Cha tropical medicine. Kwanza kwa miaka yao ukishaona mtu kahitumu nchi za USSR ujue Hana akili.
Usisahau Pia aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa Dr Nyambura Moremi..
Naye ameandikiwa Na MCT ana PhD Bila kuwekewa MMED au Msc aliyosoma..
Screenshot_20241213_232030_Chrome.jpg
 
Hana

MMED, fellowship sio lazima MMED. Acha kujikuta. Acha uongo na upotoshaji. Hana MMED. Muhimbili mabingwa Huwa wanamchukulia kama mbabaishajo miaka yote. Huyo ana ki masters (Msc) Cha tropical medicine. Kwanza kwa miaka yao ukishaona mtu kahitumu nchi za USSR ujue Hana akili.
Unavyoongea pumba kwa kujiamini sasa
 
Back
Top Bottom