Na ninawakimbiza mbaya na sikusoma muhimbiliHao Ni Ma MD tu 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ninawakimbiza mbaya na sikusoma muhimbiliHao Ni Ma MD tu 🤣🤣
Jk alikuwa anamtibu homa na malaria tu, Jk alipoumwa tezi dume alikimbilia MarekaniHao wanaomuita kihiyo hawawezi kufanya kazi alizozifanya akimtibu JK na hata hapo Muhimbili kwa miaka yote aliyotibu. Mbongo anaweza kuwa darasa la saba tu akamkashifu profesa wa chuo kikuu, tuna stupid mindsets.
Mapya yanazidi kufumukaMKuu nimejaribu kufuatilia hata hiyo fellow ship ya moyo janabi kama amefoj, FCC wanasema fellowship ya moyo ni kwa waliosoma cadiology baada ya internal medicine kwa watu wazima au watoto.
Pia wenzake wenye fellowshi kama hizo mfano levina msuya fellowship yake pale mct wameiweka manake inatambulika ila ya janabi haitambuliki.
Nawasi wasi hiyo fellowaship hana.
Alipokuwa wizara ya afya yule mama niligundua ni chuma cha pua, katibu mkuu wa wizara aliwashiwa moto 😀😀, kwanza wamtoe huku ustawi wa jamiiHii ni mada ya kitoto sana.
Medical practice ni very regulated.
Uamki asubuhi moja na kuwa surgeon hasa wa ubongo au moyo (Hakuna shortcut) you have to undergo rigorous training.
Huo ni utaratibu wa shughuli ya upasuaji wowote hadi kupata hiko kibali na sio shughuli ya kitoto.
Shida ya Janabi ni limitations zake kwenye medical field zingine.
Medicine ni discipline pana; na wazi kwa ushauri wake wa diet hana elimu pana ya nutrient.
Lakini kusema mtu anaweza kuwa surgeon bila ya training dah hiyo hapana.
Shida labda inaweza kuwa quality of training. Kuna siku niliwahi kumsikia akiongelea magonjwa ya moyo after that nikajisemea (there is no way, nitakubali Janabi apasue kifua changu).
Similarly nikisoma mada za JF jukwaa la afya kuhusu type two diabetics, uelewa wa wachangiaji wa madaktari wetu kuhusu pathophysiology ya ugonjwa unanipa mashaka sana na tiba wanazotoa.
Kuhusu teuzi ya raisi
Mshauri wa maswala ya afya lazima awe na uelewa wa health management
Kwa nafasi ya Janabi hadi kuwa mkuu wa kutio kama Muhimbili. Hata kama ajapitia succession planning ya wenzake kama hakina Dorothy Gwajima (kwenda kusoma shahada za public health). Itakuwa ni upuuzi wa hali ya juu kwa mamlaka ya teuzi kama ajapewa hata management training skills zingine through succession planning.
Iła nimesikiliza interview kadhaa za Janabi akiongelea afya, I am not convinced.
Ila watanzania tuachane na demeanour ya uanamke sana (ambayo inaweza fanya umchukulie poa), ‘Dorothy Gwajima’ lakini sio wa mzaha-mzaha kabisa kwenye usimamizi wa afya.
The woman is actually a proper technocrat. Kwenye management ya afya yaani sio wa mzaha-mzaha hata kidogo. Ni proper technocrat.
Achana na machawa wanao-support ilimradi na wao waonekane wamo, hee mama unaupiga mwingi mradi wamesemema, ohoo we mama nakupenda kwa sababu za ujinga tu.
But in fact Dorothy Gwajima ni proper health management technocrat achana na demeanor zake za kike sana.
You just don’t know
We are talking about Dr Dorothy Gwajima (na uwezo wake wa health management).Alipokuwa wizara ya afya yule mama niligundua ni chuma cha pua, katibu mkuu wa wizara aliwashiwa moto 😀😀, kwanza wamtoe huku ustawi wa jamii
Kama kaomgea ukwi kabisa. Tena sio Ukraine tu Hadi USAWe jamaa acha kupiga watu kamba, khaa!!
Sasa unafikiri utatibu kila kitu mwilin mwa binadamu ulitaka amtibu non communicable disease na tezi dume amtoe ndo maana akaenda kwa wengineJk alikuwa anamtibu homa na malaria tu, Jk alipoumwa tezi dume alikimbilia Marekani
Hauna akili mkuuAitoe wapi?
Sawa kabisa.Hauna akili mkuu
Huko serious kweli?au unachangamsha genge??Acha uongo ndugu yangu.
Standard ya elimu ya utabibu kipindi cha USSR mpaka leo hii haijawahi kuwa bora kupita yetu katika kipindi chochote kile. Mhitimu wa Muhimbili amekuwa better dhidi ya hao wa USSR.
Dunia nzima ingekua inafurika Tanzania basi kuja Kutibiwa ila Vice versa is true, Wenye kipato wakiumwa wanakimbilia India, South Africa etcKama kaomgea ukwi kabisa. Tena sio Ukraine tu Hadi USA
MMED, fellowship sio lazima MMED. Acha kujikuta. Acha uongo na upotoshaji. Hana MMED. Muhimbili mabingwa Huwa wanamchukulia kama mbabaishajo miaka yote. Huyo ana ki masters (Msc) Cha tropical medicine. Kwanza kwa miaka yao ukishaona mtu kahitumu nchi za USSR ujue Hana akili.Sometimes Kama hujui Kitu ni Bora Kukaa Kimya Tu..
Fellowship ya Moyo..
A cardiac Fellowship ina Lasts kwa Miaka 3 Na wanakuwa kwenye Clinical na Research Trials Nyingi..
Clinical nyingi wanafanya huwa zinahusisha Cardiovascular..
na Ndo maana Ni lazima anayeenda fellowship ya Moyo Awe amemaliza MMED..
Na Kama akimaliza Ata attain FACC title.. physician (MMED internal Medicine ) who has completed a cardiac fellowship may earn the title "Fellow, American College of Cardiology" (FACC) na Hiyo Huwa Ni Super..
sijui Unaelewa..
Mimi nimeenda Fellow Ya Neonatology na Ni super na Ninakuambia Hichi Nikiwa Ninajua ninachoKiongea siropoki..
Just Niulize swali lolote nitakujib
Usisahau Pia aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa Dr Nyambura Moremi..Hana
MMED, fellowship sio lazima MMED. Acha kujikuta. Acha uongo na upotoshaji. Hana MMED. Muhimbili mabingwa Huwa wanamchukulia kama mbabaishajo miaka yote. Huyo ana ki masters (Msc) Cha tropical medicine. Kwanza kwa miaka yao ukishaona mtu kahitumu nchi za USSR ujue Hana akili.
Watanzania sio wajinga Tena. Yule sio bingwa. Full stop.Usisahau Pia aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa Dr Nyambura Moremi..
Naye ameandikiwa Na MCT ana PhD Bila kuwekewa MMED au Msc aliyosoma..
View attachment 3178120
Unavyoongea pumba kwa kujiamini sasaHana
MMED, fellowship sio lazima MMED. Acha kujikuta. Acha uongo na upotoshaji. Hana MMED. Muhimbili mabingwa Huwa wanamchukulia kama mbabaishajo miaka yote. Huyo ana ki masters (Msc) Cha tropical medicine. Kwanza kwa miaka yao ukishaona mtu kahitumu nchi za USSR ujue Hana akili.
Unavyoongea pumba kwa kujiamini sasa
Elimu uliyo imekusaidia nini?Nimesoma. Sidanganywi na wajinga wa IQ ndogo.
Sidanganywi na mahoka na maamuma kama nyie.Elimu uliyo imekusaidia nini?