Ni kweli kwamba watumiaji wa ARV wanaweza kufahamika

Ni kweli kwamba watumiaji wa ARV wanaweza kufahamika

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Je, ni kweli wanaweza julikana kwa namna afya zao zinavyokuwa bora?

Naomba izingatiwe kwamba sina nia ya kuwanyanyapaa ndugu zangu wanaoishi na VVU. Ila nimesikia kwamba ukiona mtu ana mkono mnene na kinundu juu ya kiwiko cha mkono anatumia hizi dawa.

Kuna ukweli wowote? Maana kuna baadhi wasio waaminifu wanasambaza virusi kwa maksudi.

Inadaiwa kwamba hapo kwenye arm wrinkle panakuwa na nyama imejikusanya fulani hivi.
 
Hiyo nyama inajikusanya hapo
20190428_120619.jpeg
 
ngumu.
mtumiaji wa arv kwa uaminifu kuna kipindi anakuwa na afya bora kuliko mtu asiye na virusi anayekula mlo kamili na kufanya mazoezi.
Bila shaka hizi ni fununu tu maana kitaa kila mtu anasema lake.
 
Hutokaaa umjue mwenye virusi vya ukimwi adi umpime ndo utajua, ata kama anatumia ARV drugs.

Achana na story za vijiweni ukiona mtu mwenye nundu, ujue apo ametumia mda mrefu sana anaweza akawa third line ya ARV, but sio wote baadhi

Kuna ambao nyama inachelewa kujirudi ukibonyeza kidogo hao, unaweza ukajua kama ww ni mtaalam na sio kwa story za kijiweni
 
Ngozi kuwa na mg'ao wa ajabu, macho utando mtindo fulani
 
Basi nitakuwa nimewaona wengi sana kama iko hivyo
 
Kwa hiyo hii ya nundu nyuma ya kiwiko cha mkono sio kweli?
 
Unyanyapaa sio mzuri
Mkuu hatulengi kunyanyapaa kuna wimbi la vijana kutotilia maanani suala la hili janga sasa tunakumbushana angalau initial signs kabla mtu hajaingia mkenge maana wengine wanafanyisha ngono zembe ilhali wanajijua wameukwaa.
 
Back
Top Bottom