N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Je, ni kweli wanaweza julikana kwa namna afya zao zinavyokuwa bora?
Naomba izingatiwe kwamba sina nia ya kuwanyanyapaa ndugu zangu wanaoishi na VVU. Ila nimesikia kwamba ukiona mtu ana mkono mnene na kinundu juu ya kiwiko cha mkono anatumia hizi dawa.
Kuna ukweli wowote? Maana kuna baadhi wasio waaminifu wanasambaza virusi kwa maksudi.
Inadaiwa kwamba hapo kwenye arm wrinkle panakuwa na nyama imejikusanya fulani hivi.