Ngozi kuwa na mg'ao wa ajabu, macho utando mtindo fulaniHutokaaa umjue mwenye virusi vya ukimwi adi umpime ndo utajua, ata kama anatumia ARV drugs.
Achana na story za vijiweni ukiona mtu mwenye nundu, ujue apo ametumia mda mrefu sana anaweza akawa third line ya ARV, but sio wote baadhi
Kuna ambao nyama inachelewa kujirudi ukibonyeza kidogo hao, unaweza ukajua kama ww ni mtaalam na sio kwa story za kijiweni
Yakoje? Tujuzane!mgonjwa wa ukimwi mwangalie usoni. macho hayako sawa sawa
πππ Hiyo haiwezi kuwa sababu ya kumfahamu mtu mwenye HIV sisi wavuta sigara wenyewe tuko hivyoMidomo inakua kama mlevi wa gongo...
Inabadilika rangi na kua btn purple and pink...inakua kama imeungua.
Mkuu hatulengi kunyanyapaa kuna wimbi la vijana kutotilia maanani suala la hili janga sasa tunakumbushana angalau initial signs kabla mtu hajaingia mkenge maana wengine wanafanyisha ngono zembe ilhali wanajijua wameukwaa.Unyanyapaa sio mzuri