Mbona mimi sinaMidomo inakua kama mlevi wa gongo...
Inabadilika rangi na kua btn purple and pink...inakua kama imeungua.
Tuko pamoja comrade.Ila kiutaalamu ni kweli unaweza kumtambua mtu anayetumia ARVs hususani yule anayetumia kwa muda mrefu.ARVs huleta madadiliko katika mwili yanayoitwa kitaalamu Lipodystrophy.Yaani mgonjwa huonekana kama anafanya mazoezi kwa kuongezeka vigimbi miguuni na mishipa ya damu kuwa mikubwa chini ya ngozi na mashavu kudumbukia ndani.Umeongea vizuri nisamehe kwa kunyanyapaa japo sio lengo langu,inawezekana nimefeli tu namna ya uwasilishaji wa swali langu kupitia hii sledi tukuka.
Macho
Ngozi
Harufu
Pia Namna ambavyo jasho linaonekana katika ngozi yake kusweat kwake sio kwa kawaida kawaida.
Ila walau uwe umekaa mazingira ya kukutana nao mara kwa mara
nilikuwepo mahali na volunteer kuhusu haya mambo
nilijua mengi sana,
Pia kama wale ambao nivitengo vyao wao wakikuona tu aiseee anakupima akurizishe but anajua tayari
Haya niliyoyaongea ni kwa wale tu ambao wamekwisha anza kutumia arv ama madhara yamekwisha onekana tayari
ila wale wanaumwa halafu hawajaanza kutumia dawa na kinga ziko juuu
Ni jambp haliwezekani, ila kinga zikianza kupungua ngozi na utokaji wa majasho utamsemelea tu
Hii ya harufu nishawahi sikia kuna mtu anaiongelea yeye huwa anajihusisha na mambo ya HIV & AIDSMacho
Ngozi
Harufu
Pia Namna ambavyo jasho linaonekana katika ngozi yake kusweat kwake sio kwa kawaida kawaida.
Ila walau uwe umekaa mazingira ya kukutana nao mara kwa mara
nilikuwepo mahali na volunteer kuhusu haya mambo
nilijua mengi sana,
Pia kama wale ambao nivitengo vyao wao wakikuona tu aiseee anakupima akurizishe but anajua tayari
Haya niliyoyaongea ni kwa wale tu ambao wamekwisha anza kutumia arv ama madhara yamekwisha onekana tayari
ila wale wanaumwa halafu hawajaanza kutumia dawa na kinga ziko juuu
Ni jambp haliwezekani, ila kinga zikianza kupungua ngozi na utokaji wa majasho utamsemelea tu
Mwili mzima naongelea ukimuona usoni mikononi ndio maeneo inaonekana utajua tuN
NGOZI YA ENEO GANI UNAYOMAANISHA?
Tunafanya mjadala tu hapa mkuuSio kweli mkuu
ANGALIA PICHA HIZI KWA UMAKINI UONE WALIVYO MWONEKANO WAO WA NGOZI JE NI SAWA NA MTU WAKAWAIDA?Sio kweli mkuu
Pweinti imezingatiwa mwanabodiSi kila unaloambiwa liko sawa,mengine unadanganywa...
Mwili kubonyea inaweza kuwa dalili ya kisukari au figo kufail.
Kuna mambo mengi katika afya za wanadamu,sio kila dalili mnasingizia ni ukimwai.Huzingatii lishe bora na bado ukipata hitilafu kidogo unaanza kuwaza H.I.V sio sawa.
Ni heri kupima kwa vipimo kuliko kupima kwa macho
Hapo nimekusomaTuko pamoja comrade.Ila kiutaalamu ni kweli unaweza kumtambua mtu anayetumia ARVs hususani yule anayetumia kwa muda mrefu.ARVs huleta madadiliko katika mwili yanayoitwa kitaalamu Lipodystrophy.Yaani mgonjwa huonekana kama anafanya mazoezi kwa kuongezeka vigimbi miguuni na mishipa ya damu kuwa mikubwa chini ya ngozi na mashavu kudumbukia ndani.View attachment 1083269
Elimu haina mwisho bro kwa umri wangu nimelielewa hili tatizo tangu 90s mwanzoni wakati huo majarida ya dereva Pande na Ukimwi na waelemishaji walikuwa wakija kutuonyesha sinema za STDs na VVU lakini swali langu kwenye sledi hii pendwa limenuia kutanua tu uelewa...vipi unaonaje kama tungeboresha zaidi swali badala ya kuifutilia mbali sledi yetu muhimu kwa elimu yaani informal education.?INATEGEMEA UNATUMIA MAHARAGWE YENYE UBORA KIASI GANI?YALE YA MSAADA AU YALE YA WENYE KIPATO CHA KATI.
MUNGU ATUSAIDIE NA HUU UDANGAJI WA SIKU HIZI,YANI WATU TUMEPOTEANA SIO MAJUMBANI WALA SIO KWENYE KUMBI ZA STAREHE,NA WALA HATA SIO KWENYE MAKANISA YA KINABII,WALA HATA SIO MISIKITINI KOTE TUMEPOTEANA KAMA KIMBUNGA KENETH.
YANI UNAKUTA DADA MROKOLE ETI KWA WIKI ANASALI MARA SITA KILA SIKU YUPO MARA KWENYE KWAYA ,,MARA JUMUIYA LAKINI NI MTOA BIRIANI MUZURI.
HIVYO MLETA MADA NAKUOMBA UFUTE HUU UZI KAMA BUSARA ITAKUONGOZA KUFANYA HIVYO MAANA INAWEZEKANA KWA UMRI WAKO KUKAWA NA MAMBO MENGI HUYAJUI,ILA NINACHOTAKA KUKWAMBIA WATU WAMEPOTEANA TENA WAMEPOTEANA SANA,,
KUANZIA SHULE ZA MSINGI,SEKONDARI MPAKA VYUONI WATU WAMEPOTEANA NI VIGUMU KUAMINI KILA UTAKACHOAMBIWA HAPA KWA MFANO MIMI KUNA KIPINDI NILIKUWA SIWEZI KUTONGOZA MWANAMKE AMBAYE YEYE MUDA WOTE AMEVAA SURUALI?
NAKUMBUKA DADA MMOJA YEYE MDA WOTE HAKUWAHI KUVAA HATA DERA MUDA WOTE NI SURUALI ,SIKU MOJA TUKAMUWEKEA MTEGO,ULIKUWA UKIENDA NAE ROOM ANALAZIMISHA MZIME TAA,BY NOW SHE IS DEAD,,KWA IYO DALILI NYINGINE NI ENTERNAL.
NA KAMA MTU ANAKULA VIZURI ANALALA VIZURI SIO RAHISI KUMTAMBUA MTU,KWAIYO NAKUSHAURI KAMA UNAJIHISI UTOFAUTI CHUKUA HATUA KAMILI KWA KUTEMBELEA VCT,NA KAMA KUNA DEMU UNAMPENDA HATUA NI HIZO HIZO USIJE KUMUAMINI MTU MAANA KUNA MAMA WANAKULA HIZO TEMBE NA WANAZAA KAMA KAWAIDA NA MAISHA YANAENDELEA KWA IYO WEWE TAMBUA DUNIA IMEPOTEANA KAMA KIMBUNGA KENETH.
yanakuwaje mkuumgonjwa wa ukimwi mwangalie usoni. macho hayako sawa sawa
Sio fununu mkuu, msingi wa hoja yangu ni...Bila shaka hizi ni fununu tu maana kitaa kila mtu anasema lake.
Hakika[emoji28]Basi nitakuwa nimewaona wengi sana kama iko hivyo
Kwa sababu hawaruhusiwi kula nyama nyekundu isipokuwa nyeupeeeenh ndio nyama yoyote ile huota manyoya mkoni we waangalie walio wengi hutumia mchuzi tuu wanyama