Ni kweli kwamba watumiaji wa ARV wanaweza kufahamika

Ni kweli kwamba watumiaji wa ARV wanaweza kufahamika

Umeongea vizuri nisamehe kwa kunyanyapaa japo sio lengo langu,inawezekana nimefeli tu namna ya uwasilishaji wa swali langu kupitia hii sledi tukuka.
Tuko pamoja comrade.Ila kiutaalamu ni kweli unaweza kumtambua mtu anayetumia ARVs hususani yule anayetumia kwa muda mrefu.ARVs huleta madadiliko katika mwili yanayoitwa kitaalamu Lipodystrophy.Yaani mgonjwa huonekana kama anafanya mazoezi kwa kuongezeka vigimbi miguuni na mishipa ya damu kuwa mikubwa chini ya ngozi na mashavu kudumbukia ndani.
Lipo.jpg
 
N
Macho
Ngozi
Harufu
Pia Namna ambavyo jasho linaonekana katika ngozi yake kusweat kwake sio kwa kawaida kawaida.
Ila walau uwe umekaa mazingira ya kukutana nao mara kwa mara
nilikuwepo mahali na volunteer kuhusu haya mambo
nilijua mengi sana,
Pia kama wale ambao nivitengo vyao wao wakikuona tu aiseee anakupima akurizishe but anajua tayari

Haya niliyoyaongea ni kwa wale tu ambao wamekwisha anza kutumia arv ama madhara yamekwisha onekana tayari
ila wale wanaumwa halafu hawajaanza kutumia dawa na kinga ziko juuu
Ni jambp haliwezekani, ila kinga zikianza kupungua ngozi na utokaji wa majasho utamsemelea tu

NGOZI YA ENEO GANI UNAYOMAANISHA?
 
Hii ya harufu nishawahi sikia kuna mtu anaiongelea yeye huwa anajihusisha na mambo ya HIV & AIDS
 
INATEGEMEA UNATUMIA MAHARAGWE YENYE UBORA KIASI GANI?YALE YA MSAADA AU YALE YA WENYE KIPATO CHA KATI.

MUNGU ATUSAIDIE NA HUU UDANGAJI WA SIKU HIZI,YANI WATU TUMEPOTEANA SIO MAJUMBANI WALA SIO KWENYE KUMBI ZA STAREHE,NA WALA HATA SIO KWENYE MAKANISA YA KINABII,WALA HATA SIO MISIKITINI KOTE TUMEPOTEANA KAMA KIMBUNGA KENETH.

YANI UNAKUTA DADA MROKOLE ETI KWA WIKI ANASALI MARA SITA KILA SIKU YUPO MARA KWENYE KWAYA ,,MARA JUMUIYA LAKINI NI MTOA BIRIANI MUZURI.
HIVYO MLETA MADA NAKUOMBA UFUTE HUU UZI KAMA BUSARA ITAKUONGOZA KUFANYA HIVYO MAANA INAWEZEKANA KWA UMRI WAKO KUKAWA NA MAMBO MENGI HUYAJUI,ILA NINACHOTAKA KUKWAMBIA WATU WAMEPOTEANA TENA WAMEPOTEANA SANA,,

KUANZIA SHULE ZA MSINGI,SEKONDARI MPAKA VYUONI WATU WAMEPOTEANA NI VIGUMU KUAMINI KILA UTAKACHOAMBIWA HAPA KWA MFANO MIMI KUNA KIPINDI NILIKUWA SIWEZI KUTONGOZA MWANAMKE AMBAYE YEYE MUDA WOTE AMEVAA SURUALI?
NAKUMBUKA DADA MMOJA YEYE MDA WOTE HAKUWAHI KUVAA HATA DERA MUDA WOTE NI SURUALI ,SIKU MOJA TUKAMUWEKEA MTEGO,ULIKUWA UKIENDA NAE ROOM ANALAZIMISHA MZIME TAA,BY NOW SHE IS DEAD,,KWA IYO DALILI NYINGINE NI ENTERNAL.
NA KAMA MTU ANAKULA VIZURI ANALALA VIZURI SIO RAHISI KUMTAMBUA MTU,KWAIYO NAKUSHAURI KAMA UNAJIHISI UTOFAUTI CHUKUA HATUA KAMILI KWA KUTEMBELEA VCT,NA KAMA KUNA DEMU UNAMPENDA HATUA NI HIZO HIZO USIJE KUMUAMINI MTU MAANA KUNA MAMA WANAKULA HIZO TEMBE NA WANAZAA KAMA KAWAIDA NA MAISHA YANAENDELEA KWA IYO WEWE TAMBUA DUNIA IMEPOTEANA KAMA KIMBUNGA KENETH.
 
Wana Afya nzuriisiyo ya kawaida yao. wengi wao ni wanene. Ngozi Zao Zina Mfubao Hazing'ai na kumeremeta vizuri hata wajipake mafuta gani. Kuwatambua inahitaji uwe na macho makali sana
 
Ukiwatongoza Hawakupi Ng'o wanahofia kupata maambukizi mapya. Hawana papara na mapenzi, wapate wasipate si ishu
 
Sio kweli mkuu
Tunafanya mjadala tu hapa mkuu
ila suprise ni pale mtu akathubutu kukuambia lakini sio wewe binafsi ujijue,
pia wewe ni tayari mhanga ni vigumu kujua nini tunaongelea sababu wewe kwako unaona ni kawaida tu,
Ila kuna utofauti mkubwa mkuu,
Kwanza ungejua mechanism ya hizo dawa zinafanya nini wala usingebisha hili
Pia mtu ambaye anatumia dozi zaidi ya miezi mitano akienda chooni haja kubwa hicho choo akiingia mwingine anayeelewa atakuwambia aliyetoka hapa ni mtu wa kundi lipi

Ujue iko hivi
chemical reaction ya madawa + virus reaction ina phissical effect kabisa

labda nikulize unaelewa yakuwa kuna HIV1 na HIV2?
Ambapo HIV2 ndio haina hata dawa za kupooza makali unaelewa hilo?
 
Ushaur wa bure ukimwi haupimwi kwa macho hata Mara moja ni kupima tu ndio njia pekeee nimehudumu hicho kitengo CTC mwaka wa 15 sasa weng hujidanganya kwa kumuangalia mtu kwa macho,ukimwi upo na unaendelea kuua watu na cha ajabu watu wanakwambia ukimwi kama malaria take care.
 
Sio kweli mkuu
ANGALIA PICHA HIZI KWA UMAKINI UONE WALIVYO MWONEKANO WAO WA NGOZI JE NI SAWA NA MTU WAKAWAIDA?
HAWA WANATUMIA DAWA KABISAA NA PICHA ZIPO HADHARANI KWA RIZAA YAO
BONYEZA HAPA UKAONE
SASA NAOMBA JARIBUNI KUANGALIA MUONE KAMA KUNA TOFAUTI NA MTU ASIYEKUWA MWATHIRIKA NA ANATUMIA DAWA NA MWATHIRIKA ANAYETUMIA DAWA
Well-Beyond-001.jpgWell-Beyond-002.jpgWell-Beyond-003.jpgWell-Beyond-004.jpgWell-Beyond-005.jpgWell-Beyond-006.jpgWell-Beyond-007.jpgWell-Beyond-008.jpgWell-Beyond-009.jpgWell-Beyond-010.jpg
 
Si kila unaloambiwa liko sawa,mengine unadanganywa...
Mwili kubonyea inaweza kuwa dalili ya kisukari au figo kufail.

Kuna mambo mengi katika afya za wanadamu,sio kila dalili mnasingizia ni ukimwai.Huzingatii lishe bora na bado ukipata hitilafu kidogo unaanza kuwaza H.I.V sio sawa.

Ni heri kupima kwa vipimo kuliko kupima kwa macho
Pweinti imezingatiwa mwanabodi
 
Tuko pamoja comrade.Ila kiutaalamu ni kweli unaweza kumtambua mtu anayetumia ARVs hususani yule anayetumia kwa muda mrefu.ARVs huleta madadiliko katika mwili yanayoitwa kitaalamu Lipodystrophy.Yaani mgonjwa huonekana kama anafanya mazoezi kwa kuongezeka vigimbi miguuni na mishipa ya damu kuwa mikubwa chini ya ngozi na mashavu kudumbukia ndani.View attachment 1083269
Hapo nimekusoma
 
INATEGEMEA UNATUMIA MAHARAGWE YENYE UBORA KIASI GANI?YALE YA MSAADA AU YALE YA WENYE KIPATO CHA KATI.

MUNGU ATUSAIDIE NA HUU UDANGAJI WA SIKU HIZI,YANI WATU TUMEPOTEANA SIO MAJUMBANI WALA SIO KWENYE KUMBI ZA STAREHE,NA WALA HATA SIO KWENYE MAKANISA YA KINABII,WALA HATA SIO MISIKITINI KOTE TUMEPOTEANA KAMA KIMBUNGA KENETH.

YANI UNAKUTA DADA MROKOLE ETI KWA WIKI ANASALI MARA SITA KILA SIKU YUPO MARA KWENYE KWAYA ,,MARA JUMUIYA LAKINI NI MTOA BIRIANI MUZURI.
HIVYO MLETA MADA NAKUOMBA UFUTE HUU UZI KAMA BUSARA ITAKUONGOZA KUFANYA HIVYO MAANA INAWEZEKANA KWA UMRI WAKO KUKAWA NA MAMBO MENGI HUYAJUI,ILA NINACHOTAKA KUKWAMBIA WATU WAMEPOTEANA TENA WAMEPOTEANA SANA,,

KUANZIA SHULE ZA MSINGI,SEKONDARI MPAKA VYUONI WATU WAMEPOTEANA NI VIGUMU KUAMINI KILA UTAKACHOAMBIWA HAPA KWA MFANO MIMI KUNA KIPINDI NILIKUWA SIWEZI KUTONGOZA MWANAMKE AMBAYE YEYE MUDA WOTE AMEVAA SURUALI?
NAKUMBUKA DADA MMOJA YEYE MDA WOTE HAKUWAHI KUVAA HATA DERA MUDA WOTE NI SURUALI ,SIKU MOJA TUKAMUWEKEA MTEGO,ULIKUWA UKIENDA NAE ROOM ANALAZIMISHA MZIME TAA,BY NOW SHE IS DEAD,,KWA IYO DALILI NYINGINE NI ENTERNAL.
NA KAMA MTU ANAKULA VIZURI ANALALA VIZURI SIO RAHISI KUMTAMBUA MTU,KWAIYO NAKUSHAURI KAMA UNAJIHISI UTOFAUTI CHUKUA HATUA KAMILI KWA KUTEMBELEA VCT,NA KAMA KUNA DEMU UNAMPENDA HATUA NI HIZO HIZO USIJE KUMUAMINI MTU MAANA KUNA MAMA WANAKULA HIZO TEMBE NA WANAZAA KAMA KAWAIDA NA MAISHA YANAENDELEA KWA IYO WEWE TAMBUA DUNIA IMEPOTEANA KAMA KIMBUNGA KENETH.
Elimu haina mwisho bro kwa umri wangu nimelielewa hili tatizo tangu 90s mwanzoni wakati huo majarida ya dereva Pande na Ukimwi na waelemishaji walikuwa wakija kutuonyesha sinema za STDs na VVU lakini swali langu kwenye sledi hii pendwa limenuia kutanua tu uelewa...vipi unaonaje kama tungeboresha zaidi swali badala ya kuifutilia mbali sledi yetu muhimu kwa elimu yaani informal education.?
 
Bila shaka hizi ni fununu tu maana kitaa kila mtu anasema lake.
Sio fununu mkuu, msingi wa hoja yangu ni...
1: ARV ikifanya kazi yake iliyokusudiwa kuna kipindi kitafika damu ya muathilika kuwa 100% free of virus. Wote wanakimbilia kujificha kwenye BoneMarrows.
2: Katika mazingira haya utawezaje kusema huyu ni HIV kwa alama flani wakati hata hivyo virusi kwa wakati huo hana. Labda kama hizo ARV kuwepo mwilini zinamadhara flani yanayotambulika kwa nje.
 
Kuna ambao mwili unakuwa laini sana, mfano mkisalimiana kwa mikono unaona mkono lainiii

Hii imekaaje
 
Uzuri wa mtu ambaye yupo kwenye dozi anaweza asikuambukize sababu ya dawa ,ogopa yule ambaye hajaanza dozi.
 
Back
Top Bottom