Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
Team Mbowe bado wana majonzi.Anaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Haters......Lissu atawalaza na viatuLissu sio Kiongozi, ni mwanaharakati. Na harakati Moja ikiisha huanzishwa nyingine just for the sake of public attention
Hayo maneno ya Ngurumo unayahakiki vipi?Anaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Wewe uwa una hakiki vipi maneno yanayochapishwa mitandaoni?Hayo maneno ya Ngurumo unayahakiki vipi?
Asiyefaa ataondolewa kwa sanduku la kura.Kama hafai ndo hivyo tena.
Lakini kuwa team Mbowe sio sababu ya kufanyiwa uhuni kwenye chama. Lissu yeye ni kiongozi.Team Mbowe bado wana majonzi.
Kubalini yaishe
Kwa ushahidi wa kimantiki usiopingika unaotoka vyanzo tofauti zaidi ya kimoja.Wewe uwa una hakiki vipi maneno yanayochapishwa mitandaoni?
Mimi sio mhakiki, ndio maana nimeleta ujumbe kwa njia ya swali.Kwa ushahidi wa kimantiki usiopingika unaotoka vyanzo tofauti zaidi ya kimoja.
Wewe umehakiki vipi maneno ya Ngurumo?
Anaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Hizo ni choko choko za uongo. Na tunatarajia Fitina nyingi sana kuibukaLakini kuwa team Mbowe sio sababu ya kufanyiwa uhuni kwenye chama. Lissu yeye ni kiongozi.
Ni hakika, uongozi ujishushe uunganishe chama.Visasi vitaibomoa Chadema