Pre GE2025 Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

Pre GE2025 Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sidhani kamq ni kweli, nafikiri wamepishana tu mikakati ya namna BAWACHA inavyotakiwa kuwa
Bawacha ni wing ya kina mama, Lissu anatakiwa asikilize wanachohitaji asiwapelekeshe chama kitamshinda.
 
Anaandika Ngurumo kwenye X.

Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!

Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Propaganda,
Ngurumo ni team Mbowe, bado anaweweseka
 
Mimi sio mhakiki, ndio maana nimeleta ujumbe kwa njia ya swali.
Ndiyo hivyo sasa.

Habari yako inahitaji uhakiki.

Habari yoyote unayoambiwa ichukulie kwamba si ya kweli mpaka ihakikiwe na kuthibitishwa kuwa ni ya kweli.

Kwa sababu, siku hizi kuna mengi.

Kuna deliberate misinformation, kuna accidental misintepretation.

Mpaka sasa hatujasikia kwa chanzo kingine tofauti na hatujasikia upande wa Tundu Lissu unasemaje.
 
Chawa wa Mbowe bado hawajakubali matokeo, hawajiamini na hawana uhakika kwa yale waliyokuwa wakiyafanya kama watakuwa na nafasi ndani ya uongozi wa Lissu.
Wanajichuku mnoo maana wasiyemtaka kaja.
 
Wapi kafanyuwa uhuuni? Mbona unakua kama mjinga kuja na hitimisho kwa maneno ya kusikia tena toka kwa mtu aliye nje ya nchi, umemtafita huyo mwenyekiti wa Bawacha amekuthibitisha hilo?
Mjinga ni anayetaka kufukuza kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia.
 
Chawa wa Mbowe bado hawajakubali matokeo, hawajiamini na hawana uhakika kwa yale waliyokuwa wakiyafanya kama watakuwa na nafasi ndani ya uongozi wa Lissu.
Wanajichuku mnoo maana wasiyemtaka kaja.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA. Kama unataka na wewe, au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21 Januari.

Ni kura ya mabadiliko pekee itakayoondoa umalkia katika ubunge na udiwani wa viti maalum katika chama chetu. Ni kura ya mabadiliko pekee itakayohakikisha wanawake wengine nao wanapata fursa za kuwa wabunge na madiwani wa viti maalum.

Celestine Malley-Simba ameweka msimamo wake wazi kwamba atapiga kura ya mabadiliko tarehe 21 Januari. Na mimi namuunga mkono; lakini mimi sio mpiga kura kesho, na wala viti maalum havinifaidishi mimi binafsi.

Wewe uliye mpiga kura wa BAWACHA kesho na viti maalum vya ubunge na udiwani vinakuhusu, nenda kaunge mkono mabadiliko ndani ya chama chetu. Piga kura yako kwa Celestine Malley-Simba kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA.
MANENO YA LISSU
 
Ndiyo hivyo sasa.

Habari yako inahitaji uhakiki.

Habari yoyote unayoambiwa ichukulie kwamba si ya kweli mpaka ihakikiwe na kuthibitishwa kuwa ni ya kweli.

Kwa sababu, siku hizi kuna mengi.

Kuna deliberate misinformation, kuna accidental misintepretation.

Mpaka sasa hatujasikia kwa chanzo kingine tofauti na hatujasikia upande wa Tundu Lissu unasemaje.
Kwa hiyo wewe unakanusha meseji y Ansbert kwa misingi hipi?
 
Anaandika Ngurumo kwenye X.

Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!

Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Mtazusha kila kitu mwaka huu
 
Back
Top Bottom