Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Lissu na ule mtumbo wake anafaa kwa lipi?Anaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.