Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Asante kwa taarifa, swali, je wewe ni mwanachama wa CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.Asante kwa taarifa, swali, je wewe ni mwanachama wa CHADEMA
Mwambie Ngurumo akubaliane na kushindwa kwa MboweAnaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea Mwenyekiti Tundu Lissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi.
Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
Soma Pia: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Hongera umetumia hatua gani kabla ya kulalamika humu kwa maana huku siyo CHADEMANdio.
Umeona mahali nimelalamika.Hongera umetumia hatua gani kabla ya kulalamika humu kwa maana huku siyo CHADEMA
Kwa hiyo muislamu hana haki ya kumkosoa mkristu? Na mkristu kumkosoa muislamu?Dogo, huna hoja hata moja. Ni udini tu
Chadema haiendeshwi na 'tweet '.....Hapa sio suala la udini. Sharifa ni mmoja wa viongozi waliosema wazi wazi kuwa yeye ni Team Mbowe. Kama hizi shutuma ni za kweli itakuwa ni kwa sababu hiyo na sio dini yake. Ila lugha za visasi hazijaanza leo.
Naibu Katibu Mkuu (Bara) akizungumza lugha hiyo katika hotuba yake ya kwanza. Ni Heche peke yake ndie anayefanya juhudi za wazi kutibu majeraha yaliyotokea baada ya uchaguzi. Huko Twitter wako wanaosema hiyo lugha ya kutibu majeraha hawaijui. Na watu wa Twitter ndio wanaongoza mjadala.
Amandla...
Hapana ila kama anaona hawezi kufanya kazi na wewe ni vizuri ukakaa pembeni mwenyewe kupisha mwingine. Hauwezi kuwa mwenyekiti wa chama halafu hauko ukurasa mmoja na mwenyekiti wa baraza la vijana, hiko hakiwezi kuwa chama. Watu wa chini hasa viongozi wenzio inabidi wawe ukurasa mmoja na wewe na wawe tayari kufuata maelekezo yako 100%hata kama hawakuchaguliwa? Ni sawa na serikali ya kidikteta inaposema haitaki kuungukwa na wapinzani
Utashangaa... Watu wa mitandaoni baada ya ushindi mkubwa sasa wana flex nguvu zaoChadema haiendeshwi na 'tweet '.....
Kwahiyo unataka tujadili maneno yako wewe na ngurumo badala ya Sharifa?Anaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea Mwenyekiti Tundu Lissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi.
Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
Soma Pia: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Mwenyekiti BAWACHA amechaguliwa, hajateuliwa. Lissu amechaguliwa, hajateuliwa. Iweje useme kama Lissu hataki kufanya kazi na mtu, basi mtu huyo akae pembeni? Kwa nini Lissu ndio asikae pembeni ili huyo mtu afanye kazi na wengine?Hapana ila kama anaona hawezi kufanya kazi na wewe ni vizuri ukakaa pembeni mwenyewe kupisha mwingine. Hauwezi kuwa mwenyekiti wa chama halafu hauko ukurasa mmoja na mwenyekiti wa baraza la vijana, hiko hakiwezi kuwa chama. Watu wa chini hasa viongozi wenzio inabidi wawe ukurasa mmoja na wewe na wawe tayari kufuata maelekezo yako 100%
🐕🐕🐕Anaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea Mwenyekiti Tundu Lissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi.
Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
Soma Pia: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Sharifa ataondoka, na Chama kinasonga mbele.
Yaan tunataka watu wenye Damu ya Lissu.
Sharifa atakua anatoa Siri .
Mwenyekiti wa chama lazima azungukwe na watu alio comfortable kufanya nao kazi katika ngazi zote.
Hapana ila kama anaona hawezi kufanya kazi na wewe ni vizuri ukakaa pembeni mwenyewe kupisha mwingine. Hauwezi kuwa mwenyekiti wa chama halafu hauko ukurasa mmoja na mwenyekiti wa baraza la vijana, hiko hakiwezi kuwa chama. Watu wa chini hasa viongozi wenzio inabidi wawe ukurasa mmoja na wewe na wawe tayari kufuata maelekezo yako 100%
Ngrumo anampenda Mbowe zaidi kuliko CHADEMA.
Kama Sharifa aliingia kwa mizengwe na kuvunja haki, uchaguzi urudiwe tu, kwani shida nini?
Tena ikibidi uchaguzi urudiwe kanda zote na kote ambako mizengwe ilifanyika.
Ule ulikuwa fair ulifanyika kwa wazina wa lissu pia urudiwe?