Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ndiyo maana yangu tetesi hazitakiwi kwa sababu zinaacha nafasi ya kuvumisha fake news, habari ni bora zihakikiwe kabla ya kuletwa public.Akishathibitisha hatatumia tena neno tetesi, hii itabaki kuwa tetesi ambayo kuna possibility ikawa ni habari ya uongo japo kuna uwezekano ikawa ni kweli pia.