Geofrey Mahenge
New Member
- May 4, 2020
- 1
- 0
Hapo pia kuna la kujifunza. Huyo Mwenyekiti wa Bawacha alisimama hadharani kuunga mkono upande Fulani. Tujifunze hayo kupitia kwa Katibu mkuu John Mnyika.Kwa demokrasia ya kiafrika kama kwenye kampeni na harakati ulikuwa katika upande ulioshindwa, ni ngumu kuendana na upande uliokuwa unaupinga ingawa ulishinda. Busara ndogo tu ni kuamua kujitoa. Pia busara kubwa zaidi ni kuzika tofauti za kampeni baada ya uchaguzi ili mambo yaende sawa
Fikiria kama Mnyika angeweka wazi kuwa yuko upande wa Mbowe, je unadhani Lisu angemrudisha kwenye nafasi yake?