Pre GE2025 Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

Pre GE2025 Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ngurumo ni team Mbowe na mchumia tumbp
Mpaka hapo tu mtu anayetaka kuwa objective atafute ukweli atakuwa kashaona umuhimu wa kuhakiki habari kabla ya kuzikubali.

Mimi hata sikujua Ngurumo ni Team Mbowe, lakini nilijua umuhimu wa kuhakiki habari.
 
Anaandika Ngurumo kwenye X.

Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!

Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Kwa demokrasia ya kiafrika kama kwenye kampeni na harakati ulikuwa katika upande ulioshindwa, ni ngumu kuendana na upande uliokuwa unaupinga ingawa ulishinda. Busara ndogo tu ni kuamua kujitoa. Pia busara kubwa zaidi ni kuzika tofauti za kampeni baada ya uchaguzi ili mambo yaende sawa
 
Mpaka hapo tu mtu anayetaka kuwa objective atafute ukweli atakuwa kashaona umuhimu wa kuhakiki habari kabla ya kuzikubali.

Mimi hata sikujua Ngurumo ni Team Mbowe, lakini nilijua umuhimu wa kuhakiki habari.
Nililijua hili wakati wa kampeni
 
chadema ni kama inajifia ikiwa imetoka kupoteza fahamu wallah
 
Hata mbowe mkiristo. Simshambulii lissu, najenga hoja udhaifu wa lissu
PumbAav kabisa yaani shida zote ndani ya nchi hii huzioni unatafuta makosa ya Lissu? Sasa usiyemtaka kaja jipange
 
Anaandika Ngurumo kwenye X.

Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea M/kiti @TunduALissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!

Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.
Sharifa ataondoka, na Chama kinasonga mbele.

Yaan tunataka watu wenye Damu ya Lissu.

Sharifa atakua anatoa Siri .
 
Wapi nimekanusha?

Sijakanusha kauli. Nimesema kauli haijahakikiwa.

Unaelewa tofauti?
Umekanusha na kusema kwamba hii habari sio ya uhakika.
Ili habari iwe ya uhakika inatakiwa Kiranga atumie njia zake anazojua kuihakiki ndio habari inakuwa ya uhakika.
Ngurumo aliyetumiwa ujumbe na source iliyoenda kwa mwenyekiti alichoripoti sio cha uhakika mpaka Kiranga ahakiki.
Dunia ina maajabu sana!
 
Back
Top Bottom