Pre GE2025 Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo pia kuna la kujifunza. Huyo Mwenyekiti wa Bawacha alisimama hadharani kuunga mkono upande Fulani. Tujifunze hayo kupitia kwa Katibu mkuu John Mnyika.
Fikiria kama Mnyika angeweka wazi kuwa yuko upande wa Mbowe, je unadhani Lisu angemrudisha kwenye nafasi yake?
 
Aliyetupa hatari ni Ngurumo ameitoa kwa chanzo chake ambacho kilikuwa sehemu ya tukio.

Lakini habari hii ni fake mpaka Kiranga atumie mbinu zake za uhakiki. Sawa tunasubiri uhakiki.
Habari haijathibitishwa. Imetoka kwenye chanzo kimoja tu. Chanzo kilichokuwa team Mbowe ambacho hakipo above propaganda and dirty tricks za fake news.

Inabidi kwanza habari ithibitishwe.

Huelewi wapi?
 
Habari haijathibitishwa. Imetoka kwenye chanzo kimoja tu. Chanzo kilichokuwa team Mbowe ambacho hakipo above propaganda and dirty tricks za fake news.

Inabidi kwanza habari ithibitishwe.

Huelewi wapi?
Asiyeelewa ni wewe sio mimi. Ukitaka kuelekezwa namna ya kuthibitisha habari omba ueleweshwe.
 
Asiyeelewa ni wewe sio mimi. Ukitaka kuelekezwa namna ya kuthibitisha habari omba ueleweshwe.
Habari yako inatoka kwa source moja iliyo biased.

Kwa watu wanaotumia mantiki, walio objective, haikubaliki.

Ukitaka ikubalike kimantiki na objectively, ithibitishe kwa source zaidi ya moja zisizo na glaring bias.

Ukikataa ukweli huu, basi na wewe chances are ama ni mjinga huelewi ama unavumisha fake news kwa sababu zako.

Sasa wewe ni mjinga ama mzushi?
 
Kwani yale mapandikizi ulisema moja wapo si ulisema ni huyu! Mbona ngurumo Umekuwa mvurugaji?

Kama Mwenyekiti ameona kuna nia ovu atafuata utaratibu wa chama kikatiba na kutatua shida iko wapi?

Mliochaguliwa katika uongozi wa chama acheni kujibu kila jambo kwenye hizo social media wengine mmeanza kujisahau akina msuya sijui Joel kuweni na heshima na kiasi jitengeni na uovu

Punguzeni maneno muwe na kiasi jengeni chama. Vyombo vya habari havitakijenga chama.

Mwenyekiti 360 degree visionary inakuhusu sio wote ni wema… Kikulacho ki ……

Wanawake ni viumbe sijui nilitaka nisemeje? Enehuuuu jitengeni nao kwa gharama ya juu!

Uchaguzi umeisha jengeni chama

Wasiojulikana wanajulikana msiwatete kimtindo kuweni makini. Hivyo tu!
 
Kwa hiyo wewe unakanusha meseji y Ansbert kwa misingi hipi?
Kwa tabia za Ngurumo alipoamua kuwa mchambuzi na kushambulia upande mmoja, na kuonyesha dhahiri kutokubaliana na ushindi wa Lissu, so Ngurumo anaendelea ku gain momentum kwenye trending yake.
 
Nadhani ameandika TETESI, so you gotta wait and see. Inaweza weza kuwa kweli lakini pia inaweza isiwe kweli.
Anayeleta tetesi ana wajibu wa kuzithibitisha, ama sivyo anaweza kusambaza habari za uzushi.
 
Lisi kawaambieni vizuri tu, yeye ni mtu wa haki na hataonea mtu. Nyie mnataka kuleta chokochoko tu zisizo na maana.

Lissu hana muda huo.
Kuna mtu anaetangaza wazi kuwa atawaonea wengine? Watu wanapimwa kwa matendo yao, sio maneno yao.

Amandla...
 
Lissu ana visasi na ni mgumu sana kusahau na kuachilia mambo.

Hayo myatarajie tu yatakuwepo sana.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Ndugai au Kinana hawakuondolewa kwa sanduku la kura badala yake wakafurushwa juu kwa juu?! Kama hufai hufai hakuna cha sanduku la kura
Vyama vinatofautiana, sidhani kama Lissu atamtoa mtu aliyepigiwa kura na majority. CHADEMA wanajitanabaisha kama chama kinachofuata democracy hiyo mtu mmoja(hata mwenyekiti) kumuondoa mtu aliyepata uongozi kwa kupigiwa kura nyingi itakuwa wanabomoa misingi yao wenyewe.
 
Watu sensible tofauti zao huisha baada ya uchaguzi, hata boxers after the bout huwa wana-hug.
 
Anayeleta tetesi ana wajibu wa kuzithibitisha, ama sivyo anaweza kusambaza habari za uzushi.
Akishathibitisha hatatumia tena neno tetesi, hii itabaki kuwa tetesi ambayo kuna possibility ikawa ni habari ya uongo japo kuna uwezekano ikawa ni kweli pia.
 
Matusi hutumiwa na watoto waliokosa malezi mazuri ya wazazi au wenye ukosefu wa hoja zenye maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…