Anaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea Mwenyekiti Tundu Lissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi.
Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!" Kaeni chonjo!
View attachment 3221554
Soma Pia: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Kama kweli Lissu anataka kufanya haya ataua hiki chama.