Tufanye hawana, ndiyo unatakaje sasa?Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Kwenye upinzani hakuna fungu la chama kuna ruzuku tu ambayo ni ndogo sana ndio maana Freeman alitoa pesa zake kwenye shughuli ya Mlimani City.haha! kwani kwenye mambo ya chama kiongozi anatoa pesa zake mfukoni ama kuna fungu la chama..?
Nyama choma na pombe za bure hakuna tenaMkuu hapa nazungumzia million 50 sio mabillion ya kampeni za uchaguzi mkuu. Unaendeshaje chama kama hauna financial muscles?
Aseme tumpe mipango ya kutafuta pesa.
Mkuu Mbowe hayupo tena Chadema. Chama kipo mikononi mwa Lissu hatuwezi kuendelea kumbebesha lawama tunataka kuona uongozi mpya unafanya nini.Alieshindwa ni yule alieacha chama hakina source of income ya kuelewaka badala yake anaendesha chama kwa hela zake na za marafiki zake halafu ruzuku ikiingia anajilpa.
Baasi kwisha habari hapa bila wabeligiji kuingilia kati twafa ulimi nje!Kwenye upinzani hakuna fungu la chama kuna ruzuku tu ambayo ni ndogo sana ndio maana Freeman alitoa pesa zake kwenye shughuli ya Mlimani City.
'Absolute statements' hizi ziko as if you did it together, and now you have come to tell us what you were doing. Intelligent thinkers say 'when in doubt of anything suspend judgement, and whatever claim you make you must justify it'.Alieshindwa ni yule alieacha chama hakina source of income ya kuelewaka badala yake anaendesha chama kwa hela zake na za marafiki zake halafu ruzuku ikiingia anajilpa.
Swali zuri sanahaha! kwani kwenye mambo ya chama kiongozi anatoa pesa zake mfukoni ama kuna fungu la chama..?
🤣🤣 kimelambana!Napata mashaka sana uhenda tumefanya makosa.
Inamaana Lissu hakuyajua haya au akujipanga? Sasa operations za chama na kampeni ataziendeshaje?Ruzuku ya CHADEMA kwa mwezi ni Shs 170M. Ilipe gharama zote muhimu kwa mwezi pamoja na mishahara na bills. Na chama ndio kimetoka kwenye uchaguzi, ni wazi itakuwa shida Kidogo.
Aliyekuwa anafadhili ndio kaitwa Mla Rushwa, mlamba asali, dikteta, Wakala wa CCM etc.
Waahirishe kikao Cha CC Hadi hapo baadae, au wajumbe wajitolee au watadai posho zao baadae