Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa hafadhili alikuwa anakopesha kwa mujibu wa Lissu. Wakakope na wao.Ruzuku ya CHADEMA kwa mwezi ni Shs 170M. Ilipe gharama zote muhimu kwa mwezi pamoja na mishahara na bills. Na chama ndio kimetoka kwenye uchaguzi, ni wazi itakuwa shida Kidogo.
Aliyekuwa anafadhili ndio kaitwa Mla Rushwa, mlamba asali, dikteta, Wakala wa CCM etc.
Waahirishe kikao Cha CC Hadi hapo baadae, au wajumbe wajitolee au watadai posho zao baadae
Sawa sawaMwenyekiti ndio mbeba maono ya chama, kama hawezi kutafuta pesa chama kitaendeshwaje?
Siasa bila pesa unazifanya vipi?
Mkuu Mbowe hayupo sasa hivi na Lissu amefeli kuendesha mkutano wa kikatiba wa kuchagua wajumbe muhimu kwenye chama.Mbowe si anaipenda sana CDM na aliiasisi akiwa kijana mdogo!
Aendelee kutoa pesa,Sabodo aliichangia CDM akiwa ni MwanaCCM.
Miaka 20 uongozini,hakuna hata kitega uchumi wa choo cha kulipia na ni mfanyabiashara tena mchaga! How?
Kwahiyo kama hana pesa, Chadema wamekosea kumchagua?Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Benki zipo chama kikope then watarudishaga mbele kwa mbele. Maana kama ni suala la kikatiba basi ni lazima lifanyike sasa.Inamaana Lissu hakuyajua haya au akujipanga? Sasa operations za chama na kampeni ataziendeshaje?
Ndio ni hipi.Lissu yeye financial strategy yake ni hipi?
Fact fact fact.Sidhani unaweza Kuendesha chama cha upinzani kwa kutumia ruzuku ama michango ya wanachama hapana.
Na usipokuwa makini utafika pahala huwezi kufanya OP yoyote ya kichama nchi nzima
Tuna miezi 10 tu tunakwenda uchaguzi Mkuu, hili la income lianze kufanyiwa kazi mapema sana vinginevyo mgomnea wetu wa urais, wabunge na madiwani tutawadadi kwa shida saana.
Hiki chama kiliendeshwa kama SACCOS, mtu anakopesha chama, kisha anajilipa na faida juuSidhani unaweza Kuendesha chama cha upinzani kwa kutumia ruzuku ama michango ya wanachama hapana.
Na usipokuwa makini utafika pahala huwezi kufanya OP yoyote ya kichama nchi nzima
Tuna miezi 10 tu tunakwenda uchaguzi Mkuu, hili la income lianze kufanyiwa kazi mapema sana vinginevyo mgombea wetu wa urais, wabunge na madiwani tutawadadi kwa shida saana.
Ndo nashangaahaha! kwani kwenye mambo ya chama kiongozi anatoa pesa zake mfukoni ama kuna fungu la chama..?
Anaweza asiwe na pesa ila akawa na brain ya kukusanya pesa.Kwahiyo kama hana pesa, Chadema wamekosea kumchagua?
Basi wamwondoe wamchague Mo Dewji au SS Bakhresa aka Azam
Tuseme ndiyo ipo hivyo.Kufahamu ukweli, tujue tulikuwa right au tulifanya makosa
Nilimnukuu Mbowe akisema baada ya uchaguzi viongozi wote wangeenda re-treat ili kupata mafunzo ya uongozi, itikadi ya chama yaani leadership bulding capacity.Mkuu Mbowe hayupo tena Chadema. Chama kipo mikononi mwa Lissu hatuwezi kuendelea kumbebesha lawama tunataka kuona uongozi mpya unafanya nini.