Ni kweli Lissu kakosa pesa za kuendesha uchaguzi wa kamati kuu ya chama?

Ni kweli Lissu kakosa pesa za kuendesha uchaguzi wa kamati kuu ya chama?

Mbowe ndio kagharamia kila kitu ulikiona pale Mlimani City.

Sasa inawezekana hakuwa sahihi kutumia hiyo modal. Je Lissu kajipangaje?

Nimestuka sana kuona Lissu na wenzake wamekosa million 50 ya lazima. Kuna giza naliona.
Lissu ndio ameingia uongozini masaa hayazidi 72 amekuta hakuna pesa hapo wa kulaumiwa siyo Lissu yule aliye kiacha chama bila pesa.
Uongozi uliopita ulitakiwa uandae pesa za chaguzi zote za mwaka huu Hadi uchaguzi mkuu.
Uongozi wa nchi hivyo hivyo raisi anaeondoka madarakani lazima aachie pesa ya kuanzia kazi mtangulizi wake hapo ya siku chache.
Lissu na wenzie watatafuta pesa kwa Sasa bado wanakabidhiwa ofisi.
 
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.

Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.

Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Huu ni uwongo, sababu za huo uchaguzi kusogezwa mbele ziliwekwa wazi juzi
 
Salary slip kwani vyanzo vikuu vya taasisi ya kisisa huwa nini?
Nafikiri moja ya vyanzo ni ruzuku kutoka serikalini baada ya chama kupa angalau asilimia Tano za kura za urais MBOWE katika uongozi wake alifanikisha Hilo chama kinavuna sh milloni mia moja na Saba,hiyo ni mosi ,pia chanzo Cha mapato ni ada zauanachama pia MBOWE amefanikiwa kutengeneza mfumo ambao unajulokana kama cdm digital wanachama karibu lako SITA wameshajiriwa kwahiyo MBOWE ameacha chama kikiwana vyanzo vya uhakika sasa kazi kwa mzee wamabadiliko kuanzisha vyanzo vyingine ili chama kisikwame
 
Lema simeahidi kumtafutia fedha basi ndio wakati wa kutafuta fedha za kuendesha uchaguzi wa wajumbe wa kamati KUU,isiwe ndio maana lisu kaamua kumaliza nafasi zote za wajumbe wa kamati KUU ilisifanye uchaguzi wa wajumbea wakuchaguliwa na Baraza KUU la chama kazi ipo
 
Mbowe ndio kagharamia kila kitu ulikiona pale Mlimani City.

Sasa inawezekana hakuwa sahihi kutumia hiyo modal. Je Lissu kajipangaje?

Nimestuka sana kuona Lissu na wenzake wamekosa million 50 ya lazima. Kuna giza naliona.
We kabwana mdogo unatia kinyaa Sana Kama hauna hoja kaa kimya. Mbowe kaongoza zaidi ya miaka 19 alafu unashangaa kugharamia Kila kitu pale mlimani city upo serious kabisa? Najutua pia kureply Kwa jinga Kama Wewe.
 
Lakini pia nashauri ile kampeni ya join the chain ifufuliwe upya ili fund rising ifanyike pesa ipatikane na KIKAO kiweze kufanyika
 
Ruzuku ya CHADEMA kwa mwezi ni Shs 170M. Ilipe gharama zote muhimu kwa mwezi pamoja na mishahara na bills. Na chama ndio kimetoka kwenye uchaguzi, ni wazi itakuwa shida Kidogo.

Aliyekuwa anafadhili ndio kaitwa Mla Rushwa, mlamba asali, dikteta, Wakala wa CCM etc.

Waahirishe kikao Cha CC Hadi hapo baadae, au wajumbe wajitolee au watadai posho zao ba

Alikuwa hafadhili alikuwa anakopesha kwa mujibu wa Lissu. Wakakope na wao.
Wapi? Hivi vitu uone kwa nje tu. Ukiingia ndani ndio utajua. Bila hela kuendesha chama mtihani aisee. Hata ukisema litembee bakuli, litatembea bakuli hadi lini? Usione vyaelea aisee
 
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.

Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.

Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Chanzo sahihi na rasmi cha bandiko lako, ni kipi?!?!
 
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.

Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.

Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Wakati unachagua akili zako zilikuwa wapi hadi unauliza kama mlichagua watu sahihi ama la?
 
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Yť⁷q¹
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.

Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?

Ila pamoja na yote hatutakiwi kumlaumu Tundu kuhusiana na hili

Ila tunatakiwa kumuuliza yeye kama mmoja wa viongozi waliokuwepo waliupangaje mkutano? Budget ilikuaje? Na kwanini pesa ikosekane ?
 
Write your reply...chadema bana yaani cku mbili tu ulimi nje.na ccm wakigundua hili kua mna ukata watapiga pin pesa zote mtakazoomba msaada nje na mtapewa kesi za hela haram na hapo ndio utakua mwanzo wa chama kufa kabisa
 
haha! kwani kwenye mambo ya chama kiongozi anatoa pesa zake mfukoni ama kuna fungu la chama..?
Kama chama hakina fedha ni jukumu la kiongozi mkuu kufanya mobilisation fedha ipatikane, kuna wadau mbalimbali wa siasa ndani na nje ya chama wanashirikishwa ili mambo yaende.
 
Lakini pia nashauri ile kampeni ya join the chain ifufuliwe upya ili fund rising ifanyike pesa ipatikane na KIKAO kiweze kufanyika
Lissu gari yake michango mpaka leo haitoshi, itakuwa pesa za kuendesha chama?
 
Back
Top Bottom