sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
- Thread starter
- #81
Watu awatazami haya mambo kwa picha kubwa wanachukilia kama ushabiki wa Simba na Yanga.Wapi? Hivi vitu uone kwa nje tu. Ukiingia ndani ndio utajua. Bila hela kuendesha chama mtihani aisee. Hata ukisema litembee bakuli, litatembea bakuli hadi lini? Usione vyaelea aisee