zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbona walisema uchaguzi unasubiri rufaaa zisikilizwe na majibu ya katibu mkuu yatoke ndio utaitishwa.Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Hao watachaguliwa mwezi wa sita/saba huko kipindi wanamthibitisha mgombea Urais