Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Si mlikuwa mnasema Magufuli ajenge taasisi ili akiondoka mambo yasikwame?Anaachaje akiba wakati matumizi yanaendelea kulipa wafanyakazi,gharama za kuendesha ofisi,kulipa umeme, maji magari nk
Hapo Lisu bado kazi anayo kuna wafanyakazi waajiriwa Chadema mwisho wa mwezi wanatakiwa kulipwa .Tarehe zake zinakaribia ajue.Hawataelewa somo kuwa hela hamna
Siyo one man show.
Mbowe amesifiwa kujenga taasisi Sasa taasisi gani inategemea mfuko wa mtu mmoja ambaye akiondoka taasisi ina anguka?
Kadiri mnavyo ongea Sana kuendeleza vita vya wakati wa uchaguzi mnazidi kumchafua Mbowe. Muachieni heshima kidogo aliyo nayo ibaki ilivyo, heshima ya uchaguzi huru na kukubali kushindwa ni kubwa mno usimuharibie na hiyo.
Nyie wapambe katafuteni kazi nyingine za kufanya. Yapo maisha mengine mazuri nje ya uongozi wa CHADEMA.