brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
Nasema cdm kwishney.Kwenye upinzani hakuna fungu la chama kuna ruzuku tu ambayo ni ndogo sana ndio maana Freeman alitoa pesa zake kwenye shughuli ya Mlimani City.
tuone kama diaspora itatoa pesa zote za kuendesha chama