Ni kweli Lissu kakosa pesa za kuendesha uchaguzi wa kamati kuu ya chama?

Kwenye upinzani hakuna fungu la chama kuna ruzuku tu ambayo ni ndogo sana ndio maana Freeman alitoa pesa zake kwenye shughuli ya Mlimani City.
Nasema cdm kwishney.
tuone kama diaspora itatoa pesa zote za kuendesha chama
 
Hapo ndiyo atajua kwanini asali ni tamu na kamwe haitakiwi kubezwa.
Aombe msaada kwa watanzania wapenda demokrasia wakichangie chama
 
haha! kwani kwenye mambo ya chama kiongozi anatoa pesa zake mfukoni ama kuna fungu la chama..?
Huyo ni mbogamboga, kule kwao wamezoea kila kitu mama katoa, mama kafanikisha...
Hawajui chochote kuhusu uendeshwaji wa taasisi.
 
50M jifikirie. Kuna zaidi ya 230M imehusika kuendesha ule uchaguzi kuanzia kuwaleta wajumbe mpaka kuwarudisha. Fuatilia mazungumzo ya waliohusika. Punguza uchawa
Uwongo dhambi
 
Mkuu hapa nazungumzia million 50 sio mabillion ya kampeni za uchaguzi mkuu. Unaendeshaje chama kama hauna financial muscles?

Aseme tumpe mipango ya kutafuta pesa.
sasa mwenye kosa ni uongozi uliopita au huu,ambao hata wiki bado?
 
Hatutaki vya Bure.

Uchaguzi utafanyika kivyovyote.
 
mbona magufuli alilaumu watangulizi wake kwa kuharibu nchi kwa rushwa na ufisadi..
 
Umeombwa mchango?
Kama kuna shida ya pesa, wazalendo wa kweli tutachanga.
Chama ni mali ya wanachama
 
Inamaana Lissu hakuyajua haya au akujipanga? Sasa operations za chama na kampeni ataziendeshaje?
Kwani chama ni mali ya Lisu.
Kwa sasa chama ni mali ya wanachama na tupo tayari kuendesha chama chetu.
Hatuhitaji umangimeza.
 
Kwani chama ni mali ya Lisu.
Kwa sasa chama ni mali ya wanachama na tupo tayari kuendesha chama chetu.
Hatuhitaji umangimeza.
Mumeanza kukosa pumzi mapema na huyo Lisu wenu

Kazi mnayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…