Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha!
Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina?
Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima yakaenda mpaka kimara a.k.a Gaza.
Je hamwoni kuwa ccm watatoana madarakani wenyewe na sio wapinzania?
Je, ni kweli Luhaga Mpina na Gwajima wamezingirwa mpaka Leo?