binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Tunaendelea kuwashauri vyombo vya ulinzi na usalama acheni kuwa emotional.uliona ule mtiti wa kuchoma choma vitu na kuharibu majengo ungekuwa wewe ungeakuwa wewe ungefanyaje?
risasi kwanza ili watu waheshimu utawala
We mzee bifu lako na CDM ndio linakutoa akili kiasi hiki? Kinachokuchekesha nini sasa hapo?Hahahahahahahaha stori mnazibadilisha tyuuuuu
Huyu alibaki na makovu baada ya Mbowe kushindwa kwenye uchaguzi wa cdm. Walikuwa wanatumikanl kuifanya cdm kama chama cha kuilinda ccm. Sasa wamepigwa chini hadi leo ana maumivu.Lusungo wewe ni mkongwe, pamoja na mapenzi yako kwa chama na serikali kwenye hizi nyuzi ungekausha tu mzee baba...
Trauma ambayo watu wamepitia haswa watoto wadogo kwa siku 4 mfululizo sio ya kuibeza na kuleta ushabiki wa kisiasa...
Risasi zimepigwa mitaani huku ndani ya majumba kukiwa na watoto wadogo waliokuwa traumatized na kuamini kifo kimewasogelea...
Kuna mitaa haswa ile iliyokuwa kitovu cha waandamanaji, milio ya risasi ilikuwa ikisikika hadi usiku wa manane, kwa akili za kawaida hakukuwa na waandamanaji mida hiyo, je hizo risasi zilikuwa zinaelekezwa kwa nani?
Watu wamepoteza maisha mzee, acha kabisa...
Wasiandamane ili apatikane rais asiye na uhalali wa umma?watu walimbiwa wasiandamamne wakashupaza shingo , aliyewashawishi anawacheka vijana yeye keshavuta chake kitamuuuuu na wanae wazima nakesho wanaenda shule
Kwamba tulitakiwa tusiandamane ili tuendelee kupata viongozi tusiowataka au unataka kumaanisha nini? Au unataka kuhalalisha Samia kukaa madarakani kwakuwa ni mzanzibar mwenzio?Lakini yote kwa yote watanganyika mlikua hamjawahi kukutana na dhahma kma hii tuulizeni ss wazbr ukaidi kma huu umesababisha maafa makubwa lakini mkaambiwa msiandamane hamkusikia mpka limewakuta kma hili natumai jamii ishajifunza sasa vurugu hazina macho alokuwemo na asokuwemo wote ndani ya ulingo.
Umepata faida ipi baada ya kufnya maandamano?Kwamba tulitakiwa tusiandamane ili tuendelee kupata viongozi tusiowataka au unataka kumaanisha nini? Au unataka kuhalalisha Samia kukaa madarakani kwakuwa ni mzanzibar mwenzio?
Nguvu iliyotumika ni ndogo mno mno angalia china walideal na 1989 Tiananmen Square protests and massacre, na hii April 1999 demonstration by Falun Gong practitioners hapa walipig a watu 23000 chap chap , tarehe 29 watu wameonywa usitoke usiku wanatoka sasa si kupimana nguvu? unatakaje tena ingekuwa enzi ya mahita ilitakiwa saahizi iwe 9000 na itakuwa mwisho wa kiburi mavi tumboniHauko peke yako dada, tupo wengi sana tunaopitia kipindi kigumu.
Nguvu waliyotumia ni kubwa ambayo haijawahi kuonekana duniani kote kwa hii miaka ya karibuni.
Halafu mbaya zaidi kuna yule kichwa pumbu waziri wa mambo ya nje, anahojiwa na Al jazeera anakataa eti hakuna nguvu kubwa iliyotumika na idadi ya watu waliokufa haifiki hata 700..
...alinighafilisha sana kwakweli, kidogo nipasue TV yangu.
Umepata faida ipi baada ya kufnya maandamano?
njia mbona zipo nyingi sana za kupinga hata Dr slaaa amewashauri sana huko club house njia sahihiWasiandamane ili apatikane rais asiye na uhalali wa umma?
Nilitakiwa nipate faida kwa kuendelea kukaa kimya kwa kuongozwa na kiongozi asiye na uhalali wa umma?Umepata faida ipi baada ya kufnya maandamano?
Jibu swali acha taarabuNilitakiwa nipate faida kwa kuendelea kukaa kimya kwa kuongozwa na kiongozi asiye na uhalali wa umma?
Ni njia ipi ya kistaarabu haijawahi kutumika kutaka mabadaliko ya huu wizi wa kura?njia mbona zipo nyingi sana za kupinga hata Dr slaaa amewashauri sana huko club house njia sahihi
Jibu langu haliendani na marking scheme yako nini?Jibu swali acha taarabu
Mjinga hunyamaziwaJibu langu haliendani na marking scheme yako nini?
Mbowe alikuwa mtu mpuuzi sanaWewe kiokote una unacho kijua?! Au una toa ushuzi wa kunde hapo kwa shemeji Yako?!
km alipora mitungi ya gesi,simu,mke wa mtu huku adai anaandamana huyo mtu unaweza kurudi kumuua tena..Kuna boda kauliwa kitaani kwetu kama masikhara vile
Kwanini sio rahisi?Mkuu, hapa unakosea.. Hata kama kuna uhuru wa kuongea.. Pale twiga Cement sio rahisi.. Labda hujawahi fika..
Mtu mmoja kwa uroho wa madaraka anaangamiza maelfu ya raia. Halafu antaka kuwa kiongozi wa watu? Atakwenda kuwaongoza huko alikowatanguliza.Hii pia ndugu yangu mwanajeshi kaniambia hivyo hivyo.
Nikwambie tu Samia wewe ndiye mtu ambaye haupo salama kuliko watu wote katika nchi hii.