GE2025 Ni kweli maiti zimebebwa na canter. Pia nyingine zimepelekwa Twiga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo afadhali hawakumuuwa.
Goba Njia nne Kuna kijana mdogo alienda kununua mboga na mdogo wake.
Akapigwa risasi ya kichwa ubongo ukamwagika. Mdogo wake akakimbia akasalimika na kupeleka taarifa nyumbani.
Ubungo Msewe watu Kama wanne hivi walikuwa nje ya saa 4 asubuhi walimiminiwa risasi bila kuhojiwa. Wapo waliomwagika utumbo, kuvunjwa miguu n.k. Hiyo nje ya duka wanapata mahitaji.
 
Siidhani kama hili unalosema ni kweli!!! Labda utoe ushahidi!! Yaani watu wanaweza kukosa utu kiasi hiki??!!
 
Mkuu una maanisha nini kusema ''Nyie watu mnawachukia watanganyika kiasi gani?" ni watu gani hao unaowaongelea? hapa sijakuelewa.
 
Hata ng'ombe akichinjwa mwisho wake tunaujua huzikwa tumboni kisha huwahishwa kuzimu yaani chooni, iweje ndugu zetu muwateketeze kama makapi au kuni kiwandani!
 
Pole Sana Kaka wengi roho zetu zinauma Sana sio kidogo
 
watu walimbiwa wasiandamamne wakashupaza shingo , aliyewashawishi anawacheka vijana yeye keshavuta chake kitamuuuuu na wanae wazima nakesho wanaenda shule
Wanao ua watu ni tume ya uchaguzi hicho ndo kiini cha mauwaji tanzania, huwa hawautendei haki uchaguzi tangu viama vingi vianze. Tume wasipojitenga na kujipendekeza kwa watawala manung'uniko na vurugu za uchaguzi hazitakuja kuisha tanzania.
 
Wanao ua watu ni tume ya uchaguzi hicho ndo kiini cha mauwaji tanzania, huwa hawautendei haki uchaguzi tangu viama vingi vianze. Tume wasipojitenga na kujipendekeza kwa watawala manung'uniko na vurugu za uchaguzi hazitakuja kuisha tanzania.
marekani tu juzi Trump kalamika, je Warussia wasemaje ? au wachina ?
 
..kwani wananchi wakiandamana ni lazima kuwauwa?

..kwanini Mama Abduli hakutekeleza 4R ili kuepusha maandamano wakati wa uchaguzi?
Kama watu wangeandamana bila ya kuchoma moto vitu wangepungukiwa na nini? Tena hata jeshi lilikuwa likiwalinda na kuwaacha waandamanaji waandamane. Tatizo fujo za kuanza kuchoma moto mali za umma na za watu binafsi ndiyo sababu iliyopelekea nguvu ya ziada itumike hata kufikia kutumia risasi za moto.
 

ni zaidi ya mauwaji yaliyotekea yanasikitisha
 
Hivi Wazanzibari kiliwakuta nini?
 
Naishi jirani na kituo cha polisi cha wilaya.... sijawahi kusikia risasi nyingi namna hii zinapigwa usiku wa manane...
 
Mbona tunaiga mabaya tu ya China hatuigi mazuri yao? China inapinga sana ufisadi, ukifanya ufisadi unapata adhabu kali sana mfano kufungwa maisha au hata kunyongwa, kwa nini tusiige vitu kama hivyo, at least tuishie hapo kwenye kufungwa kifungo cha maisha. We unaona inafaa kuiga mauaji ya waandamanaji wasio hata na silaha tena hata hiyo China ilifanya miaka ya 1980s huko, sisi tunafanya 2025 😥
 
Siku mkipanga kutoka tena watz tushajua namna ya kujiepusha na nyie wajaa laana, mmpelekea mauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…