GE2025 Ni kweli maiti zimebebwa na canter. Pia nyingine zimepelekwa Twiga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Umepona?
 
Quite appropriate!! Sasa watu walikuwa wanachoma mabasi ya mwendokasi, wanaiba mali za watu, wanachoma vituo vya mafuta, ulitaka wafanyweje? Au ndiyo mashujaa wenu??

Dawa ni incineration through kiln
 
watu walimbiwa wasiandamamne wakashupaza shingo , aliyewashawishi anawacheka vijana yeye keshavuta chake kitamuuuuu na wanae wazima nakesho wanaenda shule
Na alieua nae kavuta chake mapema....au hao hawakupewa pesa mkuu,!!!
 
Quite appropriate!! Sasa watu walikuwa wanachoma mabasi ya mwendokasi, wanaiba mali za watu, wanachoma vituo vya mafuta, ulitaka wafanyweje? Au ndiyo mashujaa wenu??

Dawa ni incineration through kiln
Ilikuwa kutwa nzima unashinda JF mara Magufuli hivi Magufuli vile. Sasa kimama chenu hicho hapo kimekua kiuaji kikubwa. Fala wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wamechoma moto za Nini, wangeacha tuwazike kwenye kaburi la pamoja tujenge na mnara wa kumbukumbu hapo. Basi yatosha
 
Quite appropriate!! Sasa watu walikuwa wanachoma mabasi ya mwendokasi, wanaiba mali za watu, wanachoma vituo vya mafuta, ulitaka wafanyweje? Au ndiyo mashujaa wenu??

Dawa ni incineration through kiln
Mkuu watu wengi wamekufa hata hawakua kwenye maandamano ni ilikuwa mtaani tu mtu hana hili wala lile anashambuliwa.
 
Wengi wa waliouwawa hata hawakuwa waandamanaji. Waliokuwa wakitembea kurudi home, waliokuwa mitaani kwao, yaani majority hawakuwa waandamanaji.
 
Ilikuwa kutwa nzima unashinda JF mara Magufuli hivi Magufuli vile. Sasa kimama chenu hicho hapo kimekua kiuaji kikubwa. Fala wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Magufuli ndiye mwanzilishi wa uozo wote tunaopambana nao sasa hivi kuanzia kukandamiza demokrasia, kuingilia Mhimili wa Mahakama, kumiliki WASIOJULIKANA kwa ajili ya kuteka na kuua, kuweka bunge butu lenye COVID-19, kuharibu chaguzi za 2019 na 2020.

Kama asingeanzisha haya Tanzania ilikuwa inaelekea kuzuri kwenye demokrasia iliyokamaa na utawala bora
 
Tofauti ya ubongo wako na mavi ni rangi tu
 
Kimama chenu kilikuja na 4R ziliishia wapi ?. Kilikuwa kitakatifu kwelikweli kikituonesha Kila aina ya ufisadi na uchafu uliofanywa na mtangulizi wake hahaha dah.
 
Wewe ni muongo umekimbia nchi unawachochea wenzio wafanye uharifu.
 
Poleni sana tuunganisheni mioyo iliopondeka Tusonge mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…