Tetesi: Ni kweli makao Makuu ya Jeshi Dodoma yanajengwa na China?

Tetesi: Ni kweli makao Makuu ya Jeshi Dodoma yanajengwa na China?

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Posts
8,577
Reaction score
18,774
Nimeona hili kuhusu China Kujenga makao makuu ya Jeshi jijini Dodoma, ni kweli? Naelewa kuwa tuna ushirikano na China kwa muda mrefu na hata kusaidiana katika nyanja mbalimbali lakini kwa hili, kama ni kweli, tutakuwa tumekosea sana.

Naomba tulijadili.

 
Kwa sirikali hii sitobisha.
Everything is possible especially impossible (unconstitutional)
 
Unaichukulia poa sana hii mzee wa Kolbasa.
ujue inafika mahali inabidi tu ukubaliane na hali halisi.

kama AU walijengewa jengo lao na wachina kule addis ababa na wachina wakaweka mic zinarekodi kila kitu siis ni nani tuwaogope wachina.

ukiwa masikini kuna vitu inabidi uvifumbie macho tu
 
Sijajua mantiki ya thread hii ulitakaje kwanza? Uwanja wa ndege wa jeshi kule ngere ngere kule morogoro umejengwa na China kipindi cha Jk
 
China wameona tumewastukia ktk SGR wanataka watupitishe chocho watuingize king in a near future...hapa wanatengeneza mazingira fulani fulani ya kutuingiza king naomba viongozi wawe makini zaidi

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
SIO KWELI. DODOMA TUNAJENGA CHUO CHA KIJESHI CHA UONGOZI KWA MSAADA WA WATU WA CHINA. SIO MAKAO MAKUU YA JESHI. NAOMBA NIRUDIE "SIO MAKAO MAKUU YA JESHI"
Yaan wewe ndiyo umeelewa kweri kweri, na isikute ni graduate unasoma kitu na huelewi na unasema umeelewa,
Kwa namna ya mtu kama wewe acha tu ccm itawale mpaka mwaka 2099!!
 
Back
Top Bottom