Tetesi: Ni kweli makao Makuu ya Jeshi Dodoma yanajengwa na China?

Tetesi: Ni kweli makao Makuu ya Jeshi Dodoma yanajengwa na China?

umbali wa kwenda kufuatilia ishu za kiserikali unapungua mfano mi wa mwanza naweza kwenda dom nikafata nachofata kesho yake nikarudi sio kama dar unalazimika kuspend siku 5 kwa maana ya siku 2 kwenda bas liklala moro na siku 2 kurud bas liklala shy na siku 1 ya kushughulkia ulchokfanya

Kipi mfano au huduma ipi labda huwezi kupata mikoani hadi uende makao makuu.
 
China wameona tumewastukia ktk SGR wanataka watupitishe chocho watuingize king in a near future...hapa wanatengeneza mazingira fulani fulani ya kutuingiza king naomba viongozi wawe makini zaidi

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Tumwashtukia kivp kiongoz heb weka waz??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukikua ukawa na majukumu utazijua hizo huduma

Ishu ya Dodoma ni ya kisiasa zaidi kuliko uchumi,ilifanya enzi zile za mfumo wa centralized government na sio enzi hizi za dicentralized.Hakuna huduma yeyeto ya kiserikali uitakayo ukaikosa mikoani
 
Naelewa hayo ya ngerengere, hoja yangu ni kuwa kwanini vitu kama hivi tusijenge wenyewe? We unafahamu vizuri jeshi lilivyo mahiri katika sekta ya ujenzi. Na hii haijaanza leo nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na daraja la mkoloni pale old bagamoyo road lililotaka kuvunjika. Jeshi wakalijenga la muda chap chap na juzi juzi tumeona timu ya Brigedia Charles Mbuge ilivyofanya kazi nzuri pale Dodoma kwanini wasitumike kujenga makao makuu?
Lazima watashirikiana sio wao ndio watajenga pamoja. Ondoa wasi wasi
 
Nimeona hili kuhusu China Kujenga makao makuu ya Jeshi jijini Dodoma, ni kweli? Naelewa kuwa tunaushirikano na China kwa muda mrefu na hata kusaidiana katika nyanja mbalimbali lakini kwa hili kama ni kweli tutakuwa tumekosea sana.

Naomba tulijadili.

Nini cha ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahah.Ka uncle magu muda mwingine kana akil kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo kidogo anazo nyingi hasa basi tuu watu hawamwelewi kwa kubabaishwa na vikasoro vindogo vindogo. Mfano mwingine ni pale alivyowazunguka wapigaji wa mradi wa gesi kwa kuamua kujenga bwawa la umeme ili watanzania wasinyonywe kama walivyonyonywa kwenye IPTL.
 
Hata wakijenga kwani una mpango wa kupigana na wachina? au mabeberu?
Hata uwezo wa kupigana tunao? Sisi tayari tumejimilikisha kwa wachina. Hapa wanakuja na kutoka watakavyo na wataleta na kuchukua watakavyo. Tuna ubavu wa kushindana nao?
 
Ishu ya Dodoma ni ya kisiasa zaidi kuliko uchumi,ilifanya enzi zile za mfumo wa centralized government na sio enzi hizi za dicentralized.Hakuna huduma yeyeto ya kiserikali uitakayo ukaikosa mikoani
siasa zimetawala, unaenda dodoma unaambiwa napo ndo makao makuu ya wizara,ukitaka leseni unaambiwa faili lako tutalituma dar kitengo kile hakijahama bado, leseni unaitafa dar sasa nini hiki wanafanya? nimeshaona hilo kwa wizara mbili - dana dana nyingi wahusika wakuu wako dar na ofisi zao maana idea yao ilikua dodoma ndo iwe centre kwa shughuli za kiserikali ila kwa dunia hii ya sasa hivi kuna umuhimu kweli wa kwenda sehemu physically? naona wangeimarisha mifumo yao (iko chini sana) badala ya kuhamia dodoma iwe mtu anataka ku update taarifa au kurenew leseni anafanya huko huko aliko maana hata hayo matawi waliyonayo mikoani huduma ambazo ni muhimu HAWANA sasa ni nini hiki kama sio siasa!!
 
Sasa kama yanajengwa na China kuna shida gani?
 
Kwa maana hiyo copy za blue print ya eneo zima watakua nazo...

Inshort ni kama kuwekwa kiganjani...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom