Tetesi: Ni kweli makao Makuu ya Jeshi Dodoma yanajengwa na China?

Tetesi: Ni kweli makao Makuu ya Jeshi Dodoma yanajengwa na China?

Inawezekana vipi?

Hawa wanajeshi si ndio kila siku wanapandishwa vyeo na miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi inahamishiwa kwao baada ya taasisi zingine za ujenzi kuchemka kutokana na umahiri wao katika ujenzi.

inakuwaje hawawezi kujenga vya kwao wenyewe?
 
Kuhamia Dodoma kunamsaidia nn mlipa kodi au kunasaidia vipi uchumi
Mbwembwe mkuu,hakuna jipya,ni matumizi mabovu ya pesa za serikali.Dodoma hawahitaji hilo wanahitaji maji safi,elimu bora,miundo mbinu yenye uhakika,uwezeshaji kwenye kilimo cha umwagiliaji,bei za uhakika za mifugo na mazao yao ya kilimo.Wanahitaji kuboresha utunzaji wa mazingira na kustawisha misitu mikubwa.
 
siasa zimetawala, unaenda dodoma unaambiwa napo ndo makao makuu ya wizara,ukitaka leseni unaambiwa faili lako tutalituma dar kitengo kile hakijahama bado, leseni unaitafa dar sasa nini hiki wanafanya? nimeshaona hilo kwa wizara mbili - dana dana nyingi wahusika wakuu wako dar na ofisi zao maana idea yao ilikua dodoma ndo iwe centre kwa shughuli za kiserikali ila kwa dunia hii ya sasa hivi kuna umuhimu kweli wa kwenda sehemu physically? naona wangeimarisha mifumo yao (iko chini sana) badala ya kuhamia dodoma iwe mtu anataka ku update taarifa au kurenew leseni anafanya huko huko aliko maana hata hayo matawi waliyonayo mikoani huduma ambazo ni muhimu HAWANA sasa ni nini hiki kama sio siasa!!
Kila safari ilianza na hatua moja, mambo ya ngoja ngoja ndiyo yaliyo tuchelewesha miaka zaidi ya 40.
 
Back
Top Bottom