walijenga makao makuu ya AU Adis ababa wakaweka vinasa sauti kwa siri wakawa wanadukua tu mazungumzo ndo washindwe kufanya hivyo hapo dodoma?Hata wakijenga kwani una mpango wa kupigana na wachina? au mabeberu?
!
!
China Ni Marafiki Zetu Kwerikweri
Haa haa umenichekesha sana afande Chacha "kwerikweri"
ujue inafika mahali inabidi tu ukubaliane na hali halisi.Unaichukulia poa sana hii mzee wa Kolbasa.
Yaan wewe ndiyo umeelewa kweri kweri, na isikute ni graduate unasoma kitu na huelewi na unasema umeelewa,SIO KWELI. DODOMA TUNAJENGA CHUO CHA KIJESHI CHA UONGOZI KWA MSAADA WA WATU WA CHINA. SIO MAKAO MAKUU YA JESHI. NAOMBA NIRUDIE "SIO MAKAO MAKUU YA JESHI"