Naelewa hayo ya ngerengere, hoja yangu ni kuwa kwanini vitu kama hivi tusijenge wenyewe? We unafahamu vizuri jeshi lilivyo mahiri katika sekta ya ujenzi. Na hii haijaanza leo nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na daraja la mkoloni pale old bagamoyo road lililotaka kuvunjika. Jeshi wakalijenga la muda chap chap na juzi juzi tumeona timu ya Brigedia Charles Mbuge ilivyofanya kazi nzuri pale Dodoma, kwanini wasitumike kujenga makao makuu?Sijajua mantiki ya thread hii ulitakaje kwanza? Uwanja wa ndege wa jeshi kule ngere ngere kule morogoro umejengwa na China kipindi cha Jk
Labda watakuwepo pia kwenye Site ya ujenzi wakitazama mambo yanavyoenda.Kumbe kweli mganga hajigangi?!!!!!!!! wao wamejengea wenzao na kupewa sifa kem kem mpaka wamepandishwa vyeo iweje washindwe kujenga makao yao?
Mganga hajigangiNaelewa hayo ya ngerengere, hoja yangu ni kuwa kwanini vitu kama hivi tusijenge wenyewe? We unafahamu vizuri jeshi lilivyo mahiri katika sekta ya ujenzi. Na hii haijaanza leo nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na daraja la mkoloni pale old bagamoyo road lililotaka kuvunjika. Jeshi wakalijenga la muda chap chap na juzi juzi tumeona timu ya Brigedia Charles Mbuge ilivyofanya kazi nzuri pale Dodoma kwanini wasitumike kujenga?
Sasa hapo haina mantiki, wao wamesifiwa kwa kujenga nyumba nzuri kwa bei nafuu sasa kwa nini wasijenge yao?Labda watakuwepo pia kwenye Site ya ujenzi wakitazama mambo yanavyoenda.
Hata kama ni Makao Makuu ya Jeshi kwani tatizo lipo wapi? Kwani Tanzania tuna siri gani ambayo tunaweza kuwaficha walioendelea?SIO KWELI. DODOMA TUNAJENGA CHUO CHA KIJESHI CHA UONGOZI KWA MSAADA WA WATU WA CHINA. SIO MAKAO MAKUU YA JESHI. NAOMBA NIRUDIE "SIO MAKAO MAKUU YA JESHI"
Tanzania tuna siri gani wewe???!!! Waache wajenge, hivi itatokea kweli Tanzania ipigane vita na China? Maadui w Tanzania ni UJINGA, MARADHI, UMASKINI, UKABILA NA UBINFSI.walijenga makao makuu ya AU Adis ababa wakaweka vinasa sauti kwa siri wakawa wanadukua tu mazungumzo ndo washindwe kufanya hivyo hapo dodoma?
Tanzania tuna siri gani wewe???!!! Waache wajenge, hivi itatokea kweli Tanzania ipigane vita na China? Maadui w Tanzania ni UJINGA, MARADHI, UMASKINI, UKABILA NA UBINFSI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ilitakiwa utueleze madhara/huko kukosea sana sababu ni zipiNimeona hili kuhusu China Kujenga makao makuu ya Jeshi jijini Dodoma, ni kweli? Naelewa kuwa tunaushirikano na China kwa muda mrefu na hata kusaidiana katika nyanja mbalimbali lakini kwa hili kama ni kweli tutakuwa tumekosea sana.
Naomba tulijadili.
walijenga makao makuu ya AU Adis ababa wakaweka vinasa sauti kwa siri wakawa wanadukua tu mazungumzo ndo washindwe kufanya hivyo hapo dodoma?
Kubaki Dar es salaam kunamsaidia nini mlipa kodi au kunasaidia vipi uchumi??Kuhamia Dodoma kunamsaidia nn mlipa kodi au kunasaidia vipi uchumi
umbali wa kwenda kufuatilia ishu za kiserikali unapungua mfano mi wa mwanza naweza kwenda dom nikafata nachofata kesho yake nikarudi sio kama dar unalazimika kuspend siku 5 kwa maana ya siku 2 kwenda bas liklala moro na siku 2 kurud bas liklala shy na siku 1 ya kushughulkia ulchokfanyaKuhamia Dodoma kunamsaidia nn mlipa kodi au kunasaidia vipi uchumi
Kama uliyoandika hapa ni kweli! Basi Zambia ndio litakuwa taifa la ajabu kweli hapa Africa.!
!
Zambia 🇿🇲 Huko Hadi Deputy IGP Ni Chinese Na Wana Askari Wengi Tu Wa Kichina. Zambia Ni Tawi La China Africa
Kwa hili nchi za kiafrika tulionyesha udhaifu wa hali ya juu, yaani nchi zote 50+ tulishindwa kuchangishana wenyewe?
Kwanza hiyo nguvu tunayo?Hata wakijenga kwani una mpango wa kupigana na wachina? au mabeberu?