umbali wa kwenda kufuatilia ishu za kiserikali unapungua mfano mi wa mwanza naweza kwenda dom nikafata nachofata kesho yake nikarudi sio kama dar unalazimika kuspend siku 5 kwa maana ya siku 2 kwenda bas liklala moro na siku 2 kurud bas liklala shy na siku 1 ya kushughulkia ulchokfanya
Hata mm ndivyo nilivyoelewa mkuuSIO KWELI. DODOMA TUNAJENGA CHUO CHA KIJESHI CHA UONGOZI KWA MSAADA WA WATU WA CHINA. SIO MAKAO MAKUU YA JESHI. NAOMBA NIRUDIE "SIO MAKAO MAKUU YA JESHI"
ukikua ukawa na majukumu utazijua hizo hudumaKipi mfano au huduma ipi labda huwezi kupata mikoani hadi uende makao makuu.
Tumwashtukia kivp kiongoz heb weka waz??!China wameona tumewastukia ktk SGR wanataka watupitishe chocho watuingize king in a near future...hapa wanatengeneza mazingira fulani fulani ya kutuingiza king naomba viongozi wawe makini zaidi
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Walitaka kujenga sgr kwa bei ya juu kwa mkopo...magu kakataa kawapa waturuki...noona wanatutafuta kwa back doors
Ahahahah.Ka uncle magu muda mwingine kana akil kidogoWalitaka kujenga sgr kwa bei ya juu kwa mkopo...magu kakataa kawapa waturuki...noona wanatutafuta kwa back doors
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
ukikua ukawa na majukumu utazijua hizo huduma
Hivi China sio Beberu?Hata wakijenga kwani una mpango wa kupigana na wachina? au mabeberu?
Lazima watashirikiana sio wao ndio watajenga pamoja. Ondoa wasi wasiNaelewa hayo ya ngerengere, hoja yangu ni kuwa kwanini vitu kama hivi tusijenge wenyewe? We unafahamu vizuri jeshi lilivyo mahiri katika sekta ya ujenzi. Na hii haijaanza leo nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na daraja la mkoloni pale old bagamoyo road lililotaka kuvunjika. Jeshi wakalijenga la muda chap chap na juzi juzi tumeona timu ya Brigedia Charles Mbuge ilivyofanya kazi nzuri pale Dodoma kwanini wasitumike kujenga makao makuu?
Nini cha ajabuNimeona hili kuhusu China Kujenga makao makuu ya Jeshi jijini Dodoma, ni kweli? Naelewa kuwa tunaushirikano na China kwa muda mrefu na hata kusaidiana katika nyanja mbalimbali lakini kwa hili kama ni kweli tutakuwa tumekosea sana.
Naomba tulijadili.
Mabeberu marafiki!Hata wakijenga kwani una mpango wa kupigana na wachina? au mabeberu?
Kwa hiyo Kenya inayokodi walinzi wa Israel nao ni tawi la Israel ? Fikiri kwanza!!
!
... Zambia Ni Tawi La China Africa
Hata uwezo wa kupigana tunao? Sisi tayari tumejimilikisha kwa wachina. Hapa wanakuja na kutoka watakavyo na wataleta na kuchukua watakavyo. Tuna ubavu wa kushindana nao?Hata wakijenga kwani una mpango wa kupigana na wachina? au mabeberu?
siasa zimetawala, unaenda dodoma unaambiwa napo ndo makao makuu ya wizara,ukitaka leseni unaambiwa faili lako tutalituma dar kitengo kile hakijahama bado, leseni unaitafa dar sasa nini hiki wanafanya? nimeshaona hilo kwa wizara mbili - dana dana nyingi wahusika wakuu wako dar na ofisi zao maana idea yao ilikua dodoma ndo iwe centre kwa shughuli za kiserikali ila kwa dunia hii ya sasa hivi kuna umuhimu kweli wa kwenda sehemu physically? naona wangeimarisha mifumo yao (iko chini sana) badala ya kuhamia dodoma iwe mtu anataka ku update taarifa au kurenew leseni anafanya huko huko aliko maana hata hayo matawi waliyonayo mikoani huduma ambazo ni muhimu HAWANA sasa ni nini hiki kama sio siasa!!Ishu ya Dodoma ni ya kisiasa zaidi kuliko uchumi,ilifanya enzi zile za mfumo wa centralized government na sio enzi hizi za dicentralized.Hakuna huduma yeyeto ya kiserikali uitakayo ukaikosa mikoani
China ni malafiki zetu wa damu kwerikwerii!
!
China Ni Marafiki Zetu Kwerikweri
Mmekuja na hoja hiyo tena?Kuhamia Dodoma kunamsaidia nn mlipa kodi au kunasaidia vipi uchumi