siasa zimetawala, unaenda dodoma unaambiwa napo ndo makao makuu ya wizara,ukitaka leseni unaambiwa faili lako tutalituma dar kitengo kile hakijahama bado, leseni unaitafa dar sasa nini hiki wanafanya? nimeshaona hilo kwa wizara mbili - dana dana nyingi wahusika wakuu wako dar na ofisi zao maana idea yao ilikua dodoma ndo iwe centre kwa shughuli za kiserikali ila kwa dunia hii ya sasa hivi kuna umuhimu kweli wa kwenda sehemu physically? naona wangeimarisha mifumo yao (iko chini sana) badala ya kuhamia dodoma iwe mtu anataka ku update taarifa au kurenew leseni anafanya huko huko aliko maana hata hayo matawi waliyonayo mikoani huduma ambazo ni muhimu HAWANA sasa ni nini hiki kama sio siasa!!