Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Mimi ntaumia sanaKama Ni kweli Basi Leo dar watu mtalewa sana
Nasikia CP Hamduni ni mmojawapo wa mashahidi wa utetezi wa Sabaya?CP Hamduni soon ataelezea kama kweli au urongo...bado Musiba nae
RPC ARUSHA? Impossible lakin , sababu wanaoshitaki ni PCCB . Hii siyo conflict of interest?Nasikia CP Hamduni ni mmojawapo wa mashahidi wa utetezi wa Sabaya?
Si ujambazi aliufanyia Arusha ndio maana kashtakiwa Arusha? Si CP Hamduni alikuwa RPC huko kipindi hicho? Atakuja mahakamani ili aeleze ujambazi wa Sabaya!RPC ARUSHA? Impossible lakin , sababu wanaoshitaki ni PCCB . Hii siyo conflict of interest?
Alipogoma kumkamata Mbowe sababu kusingiziwa kangoa reli .....akarudishwa Dar akiwa RPC Kilimanjaro ....huyo ni mswalihina hana tamaa wala kusema uongo katuNasikia CP Hamduni ni mmojawapo wa mashahidi wa utetezi wa Sabaya?
Si ujambazi aliufanyia Arusha ndio maana kashtakiwa Arusha? Si CP Hamduni alikuwa RPC huko kipindi hicho? Atakuja mahakamani ili aeleze ujambazi wa Sabaya!
Ikiwa kweli hata mimi nitachinja mbuzi nipate kisusio.Kama Ni kweli Basi Leo dar watu mtalewa sana
Ulipaswa uanze na "Je" ili ikamilike kama swali?Habari wakuu na wanajamvi,
Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola kwa ajili ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
Yaani kwa kifupi inasemekana Makonda tayari ameanza kuhojiwa na Takukuru.
Je, ni kweli?
Kwenye zile harakati zake alikuwa peke yake? Kama ni kikundi basi wajulikane ili watusaidie tumsaidie Sabaya.RPC ARUSHA? Impossible lakin , sababu wanaoshitaki ni PCCB . Hii siyo conflict of interest?
mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri..Alipogoma kumkamata Mbowe sababu kusingiziwa kangoa reli .....akarudishwa Dar akiwa RPC Kilimanjaro ....huyo ni mswalihina hana tamaa wala kusema uongo katu