Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?

Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Habari wakuu na wanajamvi,

Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola kwa ajili ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili.

Yaani kwa kifupi inasemekana Makonda tayari ameanza kuhojiwa na Takukuru.

Je, ni kweli?

PIA, SOMA:
- TAKUKURU wakanusha kumshikilia Makonda
 
Bado ni tetesi!

Ila hawa wazee wakikugumia wanakushikilia wee,badaye ndiyo wanakupandisha kizimbani😀

Ova
 
RPC ARUSHA? Impossible lakin , sababu wanaoshitaki ni PCCB . Hii siyo conflict of interest?
Si ujambazi aliufanyia Arusha ndio maana kashtakiwa Arusha? Si CP Hamduni alikuwa RPC huko kipindi hicho? Atakuja mahakamani ili aeleze ujambazi wa Sabaya!
 
Si ujambazi aliufanyia Arusha ndio maana kashtakiwa Arusha? Si CP Hamduni alikuwa RPC huko kipindi hicho? Atakuja mahakamani ili aeleze ujambazi wa Sabaya!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dose dose.

tamthiria hii iko mwanzo kabisaa.
 
Habari wakuu na wanajamvi,

Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola kwa ajili ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
Yaani kwa kifupi inasemekana Makonda tayari ameanza kuhojiwa na Takukuru.

Je, ni kweli?
Ulipaswa uanze na "Je" ili ikamilike kama swali?
 
RPC ARUSHA? Impossible lakin , sababu wanaoshitaki ni PCCB . Hii siyo conflict of interest?
Kwenye zile harakati zake alikuwa peke yake? Kama ni kikundi basi wajulikane ili watusaidie tumsaidie Sabaya.

Alipogoma kumkamata Mbowe sababu kusingiziwa kangoa reli .....akarudishwa Dar akiwa RPC Kilimanjaro ....huyo ni mswalihina hana tamaa wala kusema uongo katu
mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri..
ijapo sio wote though

mwinyi ali hassan, kikwete now samia

namkumbuka prof Assad pia, hiki chuma kwann wasikipangie majukumu mengine?
 
Back
Top Bottom