Ni kweli mbinu ya pulse and glide, kukanyaga moto kisha uliache gari free kunasaidia kupunguza ulaji wa mafuta ?

Ni kweli mbinu ya pulse and glide, kukanyaga moto kisha uliache gari free kunasaidia kupunguza ulaji wa mafuta ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
  • Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini)
  • Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe
  • Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
 
  • Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h.
  • Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe
  • Wakati gari kinapungua kasi sana, mfano likidika 20 km/h rudia hatua ya
Ngoja nikae pembeni nipate darasa
 
Mad Max njoo utupe somo mna vyuma vimekaza
Ni moja ya technique ya hyper-milling(kusave mafuta). Lakini iwe tabia yako ya kuda mrefu ndio utaona inasave sio siku moja au mbili katika mwaka.

Inatumika pia mfano unaendesha hafu unajua mita 300 mbele kuna mataa. Kwahiyo unaachia mafuta mapema unaacha gari ikasimame mataa yenyewe.

Uwa naitumia kwenye barabara flat, kwa mfano kama mwenyeji wa Dar unavotoka mataa ya Chuo cha St Joseph Mbezi kuja Magufuli Stand kuna barabara iko flat sana, au njia ya kutoka External Bus Stand kuelekea Tabata relini unaweza tumia hii technique. Hauwezi itumia kwenye mlima au miinuko ata kidogo kwasababu gari inapoteza speed mapema sana.

Ukiwa highway ndio utaona faida zaidi.
 
  • Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini)
  • Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe
  • Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
RPM ndio key detector ya fuel consumption
 
Aisee shida yote ya nini? Kama huna hela ya mafuta panda basi tu
 
Back
Top Bottom