Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

Kama hujui ni vyema ukakaa kimya...unapima utajiri wa ma billionaire wakubwa walowekeza sehemu nyingi zinafika 30+ kwa kuweka kamradi kamoja unavhokafahamu.

Mkuu ukianishiwa sehemu akizowekeza MO au Bath utakimbia hawa watu wana miradi mingimingi sana huwezi wa evaluate kwa kuchukua kakimradi kamoja kadogo tu.

Hizi kazi tuwaachie FORBES bana tusijifanye wajuzi.
 
Hyo FORBES Pdidy ashawapiga marufuku kufuatilia maisha yake maana waongo. Hawa jamaa MO na Azam wote ni matajiri wakubwa ila kimtazamo tu Azam anaonekana yuko juu kulingana na bidhaa zake zilivyo. Mtoa post kagusa tu bidhaa moja ya kisimbuzi hajataka kufika mbali kwenye meli, hotel, maji, unga, juice na madude mengne. Mo ni mwanasiasa na kawaida ya wanasiasa tunaijua kujimwambafai ndio kila kitu kwao. Ukilinganisha bidhaa zao ambazo ziko sokon bila shaka bakhresa anakimbiza, unless kama Mo ana vitu vingne ambavyo forbes wanavijua sisi wananchi au wateja wake hatuvijui.
 
Mo anajibrandi ili kujenga network duniani na mabenk makubwa lkn hana 60% ya utajiri wa bakhresa....

Bakhresa ni mtu wa kuficha tarifa zake na asiyependa publicity....

Viwanda vya bakhresa ni mashinw za mzungu lkn za Mo ni wachina na wahindi....

Machine ya mzungu gharamabyake ni mara 9 hadi kumi ya mchina.

Gari tu zile za Bakhresa za mizigo huwezi fananisha na Mo. Mo kajaza TATA tupu.
Nilishawahi kupata kaajira kwenye hizo uchafu za mo,yaani kutoka kiwalani hadi kkoo lazima gari ipate breakdown, spare mkononi
 
Sasa hivi inasemekana Azam Tv ina wateja milioni mbili ( 2000000*18000 = 36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania, Uganda, Kenya, Malawi na anazidi kujitanua nchi zingine.

Bado asset kama nyumba, magari, viwanja, viwanda. Je ni kweli Mo ni zaidi ya huyu mzee au ni publicity tu sisi vijana? Sikatai kwamba sio tajiri ila utata wangu kama kweli anamzidi huyu mzee.
Akili ndogo utazijua tu muda wote zinakaa kujadili watu.. Ukishajua itakusaidia nini? Nincompoops
 
Japo ni ushamba kuzungumzia figure s za watu

Ila bakhresa ana pei chafu Sana (namaanisha ana mkwanja mrefu[emoji3])

Products zake nyingi nazikubali kasoro maziwa yake na zile nazi
Nakubaliana na wewe 100% ,Bakhresa yupo vizuri sana MO mtoto sana kifedha kwa SSB.
 
Hyo FORBES Pdidy ashawapiga marufuku kufuatilia maisha yake maana waongo. Hawa jamaa MO na Azam wote ni matajiri wakubwa ila kimtazamo tu Azam anaonekana yuko juu kulingana na bidhaa zake zilivyo. Mtoa post kagusa tu bidhaa moja ya kisimbuzi hajataka kufika mbali kwenye meli, hotel, maji, unga, juice na madude mengne. Mo ni mwanasiasa na kawaida ya wanasiasa tunaijua kujimwambafai ndio kila kitu kwao. Ukilinganisha bidhaa zao ambazo ziko sokon bila shaka bakhresa anakimbiza, unless kama Mo ana vitu vingne ambavyo forbes wanavijua sisi wananchi au wateja wake hatuvijui.
Kuna bidhaa nyingi ambazo mo anazitengeneza lakini bakharesa hatengenezi.
Kama sabuni ,tambi,viberiti,viwanda vya nguo na pia mo ana mashamba ambayo haya hesabiki.
Kingine mo kawekeza kwenye nchi nyingi sana za afrika ukilinganisha na Bakharesa aliye wekeza africa mashariki ya mashariki na kati tu.
Kwa hiyo mimi naona mo utajiri wake ni mkubwa kuliko Bakharesa.
 
Kama hujui ni vyema ukakaa kimya...unapima utajiri wa ma billionaire wakubwa walowekeza sehemu nyingi zinafika 30+ kwa kuweka kamradi kamoja unavhokafahamu.

Mkuu ukianishiwa sehemu akizowekeza MO au Bath utakimbia hawa watu wana miradi mingimingi sana huwezi wa evaluate kwa kuchukua kakimradi kamoja kadogo tu.

Hizi kazi tuwaachie FORBES bana tusijifanye wajuzi.
Kwahiyo Forbe tusiwaamini tuamini maoni yako,basi mimi nasema Diamond Platinum tajiri kuliko hao wawili show ya Wasafi Festival umejaza watu kibao So anawazidi wote.
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Mkuu usinde mbali sana. Azam chukua ngano,juisi,mikate,biscuit,nazi, maziwa,boat,na madishi fanya kwa matumizi ya kila siku kila mtanzania anamchangia jamaa tsh.100/=. Zidisha kwa watu milioni 50 utapata bilioni 5 per day hiyo TZ.peke yake na jamaa analisha Afrika mashariki na kati. Sitegemei kama bongo kuna mtu anamzidi huyu. Labda yule jamaa aliyekuwa anaingiza milioni 6 kwa dakika!!😀😀😀.Hata hivyo bado.
 
Kuna bidhaa nyingi ambazo mo anazitengeneza lakini bakharesa hatengenezi.
Kama sabuni ,tambi,viberiti,viwanda vya nguo na pia mo ana mashamba ambayo haya hesabiki.
Kingine mo kawekeza kwenye nchi nyingi sana za afrika ukilinganisha na Bakharesa aliye wekeza africa mashariki ya mashariki na kati tu.
Kwa hiyo mimi naona mo utajiri wake ni mkubwa kuliko Bakharesa.

Mkuu turudi kwenye uhalisia tuache siasa. Tambi na viberiti ni bidhaa ambazo ziko sokon lakin hazitembei sana au hata km znatembe sana tayar zna washindani wakali. Tambi za MO zmekuja juzi tu tena hazna ubora kama umewah kuzitumia utanithibitishia hili hasa pale unapocompare na tambi kama za Santa Lucia ambazo znafanya vzr sokon kwa hapa kwetu Tanzania. Kuhusu viberti pia hzo bidhaa ameleta tu juz tayar tulikua na bidhaa kama kangaroo, rungu n.k ambazo hzo zote amezikuta znafanya vizuri. Kuhusu uwekezaji wa mataifa mengi afrika kuliko bakhera siwez kubisha maana sina taarifa za kutosha ni wapi amewekeza na kawekeza kwenye nini hasa. Lakin bakhera naye amewekeza Tz, kenya, uganda, congo, msumbiji, na pia south afrika. Yote kwa yote kuna kitu kimoja ambacho Mo anakifanya sidhan km kinampa "competative advantage" kulinganisha na wenzie, nacho ni kukopi kuliko pitiliza. Jamaa sokon hana bidhaa hata moja ambayo amebuni mwenyew nyingi ni cope and paste. Hii si mbaya ila ukikuta unayemkopi tayar amestabilize utakua unamark time tu. Mfano vinywaji vya hapa bongo 90 kamkopi azam, hizo tambi sijui viberti ndio usiseme ni cope tu na kuweka. Kuna kipindi amekuja mpka na baiskel za wajasiriamali kama bakhera alivyowapa wauza ice cream zake. Juzi juzi hapa kaja na ukwaju kama wa bakhresa. Nowonder hata Simba ndio maana anakomaa aimiliki na hatak kuanzisha timu ya kwake.
 
Eeeh nakufuatilia ili nijifunze

Back
Top Bottom