Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

Sasa hivi inasemekana Azam Tv ina wateja milioni mbili ( 2000000*18000 = 36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania, Uganda, Kenya, Malawi na anazidi kujitanua nchi zingine.

Bado asset kama nyumba, magari, viwanja, viwanda. Je ni kweli Mo ni zaidi ya huyu mzee au ni publicity tu sisi vijana? Sikatai kwamba sio tajiri ila utata wangu kama kweli anamzidi huyu mzee.
mo utajiri ni wa familia bakhressa utajiri kautafuta mwenyewe
 
Mkuu turudi kwenye uhalisia tuache siasa. Tambi na viberiti ni bidhaa ambazo ziko sokon lakin hazitembei sana au hata km znatembe sana tayar zna washindani wakali. Tambi za MO zmekuja juzi tu tena hazna ubora kama umewah kuzitumia utanithibitishia hili hasa pale unapocompare na tambi kama za Santa Lucia ambazo znafanya vzr sokon kwa hapa kwetu Tanzania. Kuhusu viberti pia hzo bidhaa ameleta tu juz tayar tulikua na bidhaa kama kangaroo, rungu n.k ambazo hzo zote amezikuta znafanya vizuri. Kuhusu uwekezaji wa mataifa mengi afrika kuliko bakhera siwez kubisha maana sina taarifa za kutosha ni wapi amewekeza na kawekeza kwenye nini hasa. Lakin bakhera naye amewekeza Tz, kenya, uganda, congo, msumbiji, na pia south afrika. Yote kwa yote kuna kitu kimoja ambacho Mo anakifanya sidhan km kinampa "competative advantage" kulinganisha na wenzie, nacho ni kukopi kuliko pitiliza. Jamaa sokon hana bidhaa hata moja ambayo amebuni mwenyew nyingi ni cope and paste. Hii si mbaya ila ukikuta unayemkopi tayar amestabilize utakua unamark time tu. Mfano vinywaji vya hapa bongo 90 kamkopi azam, hizo tambi sijui viberti ndio usiseme ni cope tu na kuweka. Kuna kipindi amekuja mpka na baiskel za wajasiriamali kama bakhera alivyowapa wauza ice cream zake. Juzi juzi hapa kaja na ukwaju kama wa bakhresa. Nowonder hata Simba ndio maana anakomaa aimiliki na hatak kuanzisha timu ya kwake.
hadi ukwaju duuh hana hata aibu.........
 
Anamiliki Tv sita ni gharama sana yani pesa zinamtoka hatari maana kuna kodi ya gavoo, pesa ya satellite broadcasts.
Analipia huduma mbalimbali kama Channels za nje ili wewe uzione, analipia mashindano mbalimbali ili wewe uyaone huko kote anapukutika hasa!

Ndio maana sometimes anaacha kulipia maana anakuwa faida nyinyi mnabaki kulalama mechi ya Yanga katangaza itaonekana alafu anaingia mitini, Afcon ataonyesha tena bure alafu anaingia mitini hafanyi makusudi ni hela!

Azam FC hovyo ni sawa na Lipuli tu huwezi kuitaja eti nayo ni sehemu inayo mwingizia faida kubwa!

Anapopiga faida kubwa ni kwenye mabidhaa ya kula kula na kunywa kunywa huko salute
akitaka azam fc imlipe aigeuze kuwa soccer academy tu ajitahidi sana kuuza wachezaji nje ya tz
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nazikumbuka, kuna jamaa angu alikuwa anaendesha na ilibidi aache baada ya kuona ameanza kupata mattizo ya maskio kutosikia vizuri.
kipo vigunguti kelele zinaskika tazara.
uwekezaji wa mo hatari tupu.
 
Kitambo.
tapatalk_1570449182994.jpeg
 
Hyo FORBES Pdidy ashawapiga marufuku kufuatilia maisha yake maana waongo. Hawa jamaa MO na Azam wote ni matajiri wakubwa ila kimtazamo tu Azam anaonekana yuko juu kulingana na bidhaa zake zilivyo. Mtoa post kagusa tu bidhaa moja ya kisimbuzi hajataka kufika mbali kwenye meli, hotel, maji, unga, juice na madude mengne. Mo ni mwanasiasa na kawaida ya wanasiasa tunaijua kujimwambafai ndio kila kitu kwao. Ukilinganisha bidhaa zao ambazo ziko sokon bila shaka bakhresa anakimbiza, unless kama Mo ana vitu vingne ambavyo forbes wanavijua sisi wananchi au wateja wake hatuvijui.
Hata Mengi aliwahi kusema taarifa za Forbes ni za uongo na hawezi hata kuziamini,alisema hata umri wake yeye Forbes hawaujui wameishia kutunga wanao ona wao utafaa.
 
Mo anajibrandi ili kujenga network duniani na mabenk makubwa lkn hana 60% ya utajiri wa bakhresa....

Bakhresa ni mtu wa kuficha tarifa zake na asiyependa publicity....

Viwanda vya bakhresa ni mashinw za mzungu lkn za Mo ni wachina na wahindi....

Machine ya mzungu gharamabyake ni mara 9 hadi kumi ya mchina.

Gari tu zile za Bakhresa za mizigo huwezi fananisha na Mo. Mo kajaza TATA tupu.
Kuna mtu kasema kuhusu mashamba na mifugo ukiacha viwanda je ulishawahi kusikia mashamba ya Bakhressa?...
 
Mkuu turudi kwenye uhalisia tuache siasa. Tambi na viberiti ni bidhaa ambazo ziko sokon lakin hazitembei sana au hata km znatembe sana tayar zna washindani wakali. Tambi za MO zmekuja juzi tu tena hazna ubora kama umewah kuzitumia utanithibitishia hili hasa pale unapocompare na tambi kama za Santa Lucia ambazo znafanya vzr sokon kwa hapa kwetu Tanzania. Kuhusu viberti pia hzo bidhaa ameleta tu juz tayar tulikua na bidhaa kama kangaroo, rungu n.k ambazo hzo zote amezikuta znafanya vizuri. Kuhusu uwekezaji wa mataifa mengi afrika kuliko bakhera siwez kubisha maana sina taarifa za kutosha ni wapi amewekeza na kawekeza kwenye nini hasa. Lakin bakhera naye amewekeza Tz, kenya, uganda, congo, msumbiji, na pia south afrika. Yote kwa yote kuna kitu kimoja ambacho Mo anakifanya sidhan km kinampa "competative advantage" kulinganisha na wenzie, nacho ni kukopi kuliko pitiliza. Jamaa sokon hana bidhaa hata moja ambayo amebuni mwenyew nyingi ni cope and paste. Hii si mbaya ila ukikuta unayemkopi tayar amestabilize utakua unamark time tu. Mfano vinywaji vya hapa bongo 90 kamkopi azam, hizo tambi sijui viberti ndio usiseme ni cope tu na kuweka. Kuna kipindi amekuja mpka na baiskel za wajasiriamali kama bakhera alivyowapa wauza ice cream zake. Juzi juzi hapa kaja na ukwaju kama wa bakhresa. Nowonder hata Simba ndio maana anakomaa aimiliki na hatak kuanzisha timu ya kwake.
Kuna vitu vingi hamjui kuhusu Mo maji masafi na juice ya pride na mafuta ya kula ya Safi vilianza kabla ya Bakhressa
 
Masafi yametimiza miaka 20 mwaka huu.
Kiwanda xha Unga kimetimiza miaka 50
Kuna vitu vingi hamjui kuhusu Mo maji masafi na juice ya pride na mafuta ya kula ya Safi vilianza kabla ya Bakhressa
 
Sasa hivi inasemekana Azam Tv ina wateja milioni mbili ( 2000000*18000 = 36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania, Uganda, Kenya, Malawi na anazidi kujitanua nchi zingine.

Bado asset kama nyumba, magari, viwanja, viwanda. Je ni kweli Mo ni zaidi ya huyu mzee au ni publicity tu sisi vijana? Sikatai kwamba sio tajiri ila utata wangu kama kweli anamzidi huyu mzee.
Labda utajiri wa umaarufu lakn kwa pesa sidhan alafu mbona wanasema Mpunga ni Mali ya familia yeye ni kama msimamiaji
 
Choef usipate tabu na comment zangu, mi ni ku.waga pumba tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom