Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 609
Nafuatilia hizi comments zenu ili nijifunze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuongezea, Azam media inamiliki media kama sita Azam sports 1&2, UTV, Azam 1&2, Sinema zetu pamoja na UFM hizi zote analipa zaidi ya million 130 kwa mwezi bado Magu hajataka vyake hapoHv., unadhani wote wenye ving'amuzi wanajiunga kila mwenzi na kwa kifurushi hicho ulicho-calculatia..?
Unafahamu cost za uzalishaji wa vipindi vyote na channels zote za Azam Tv...?
Je, unafahamu gharama za mishahara ya wafanakazi wote pale A.M.G..?
Ingependeza zaidi ukaweka cost zote hapa then utucalculatie hizo hesabu zako.. Nitakuelewa zaidi.
Anyway.. Kuhusu nani tajiri hats me sifahamu.. Nadhani ni siri zao binafsi kutokana na assets na pesa zao
Kamesha edit 😝😝😝😝 uzuri ulisha kanukuu itaishi mileleAngalia hesabu yake vizuri, siyo M36
Anamiliki Tv sita ni gharama sana yani pesa zinamtoka hatari maana kuna kodi ya gavoo, pesa ya satellite broadcasts.Hyo FORBES Pdidy ashawapiga marufuku kufuatilia maisha yake maana waongo. Hawa jamaa MO na Azam wote ni matajiri wakubwa ila kimtazamo tu Azam anaonekana yuko juu kulingana na bidhaa zake zilivyo. Mtoa post kagusa tu bidhaa moja ya kisimbuzi hajataka kufika mbali kwenye meli, hotel, maji, unga, juice na madude mengne. Mo ni mwanasiasa na kawaida ya wanasiasa tunaijua kujimwambafai ndio kila kitu kwao. Ukilinganisha bidhaa zao ambazo ziko sokon bila shaka bakhresa anakimbiza, unless kama Mo ana vitu vingne ambavyo forbes wanavijua sisi wananchi au wateja wake hatuvijui.
Anamiliki Tv sita ni gharama sana yani pesa zinamtoka hatari maana kuna kodi ya gavoo, pesa ya satellite broadcasts.
Analipia huduma mbalimbali kama Channels za nje ili wewe uzione, analipia mashindano mbalimbali ili wewe uyaone huko kote anapukutika hasa!
Ndio maana sometimes anaacha kulipia maana anakuwa faida nyinyi mnabaki kulalama mechi ya Yanga katangaza itaonekana alafu anaingia mitini, Afcon ataonyesha tena bure alafu anaingia mitini hafanyi makusudi ni hela!
Azam FC hovyo ni sawa na Lipuli tu huwezi kuitaja eti nayo ni sehemu inayo mwingizia faida kubwa!
Anapopiga faida kubwa ni kwenye mabidhaa ya kula kula na kunywa kunywa huko salute
Hahaaaaa Ushaambiwa mo kawakumbatia wachina lazima wakopi siku ziende wewe unatuletetea ma power tila mjini kelele tupuMkuu turudi kwenye uhalisia tuache siasa. Tambi na viberiti ni bidhaa ambazo ziko sokon lakin hazitembei sana au hata km znatembe sana tayar zna washindani wakali. Tambi za MO zmekuja juzi tu tena hazna ubora kama umewah kuzitumia utanithibitishia hili hasa pale unapocompare na tambi kama za Santa Lucia ambazo znafanya vzr sokon kwa hapa kwetu Tanzania. Kuhusu viberti pia hzo bidhaa ameleta tu juz tayar tulikua na bidhaa kama kangaroo, rungu n.k ambazo hzo zote amezikuta znafanya vizuri. Kuhusu uwekezaji wa mataifa mengi afrika kuliko bakhera siwez kubisha maana sina taarifa za kutosha ni wapi amewekeza na kawekeza kwenye nini hasa. Lakin bakhera naye amewekeza Tz, kenya, uganda, congo, msumbiji, na pia south afrika. Yote kwa yote kuna kitu kimoja ambacho Mo anakifanya sidhan km kinampa "competative advantage" kulinganisha na wenzie, nacho ni kukopi kuliko pitiliza. Jamaa sokon hana bidhaa hata moja ambayo amebuni mwenyew nyingi ni cope and paste. Hii si mbaya ila ukikuta unayemkopi tayar amestabilize utakua unamark time tu. Mfano vinywaji vya hapa bongo 90 kamkopi azam, hizo tambi sijui viberti ndio usiseme ni cope tu na kuweka. Kuna kipindi amekuja mpka na baiskel za wajasiriamali kama bakhera alivyowapa wauza ice cream zake. Juzi juzi hapa kaja na ukwaju kama wa bakhresa. Nowonder hata Simba ndio maana anakomaa aimiliki na hatak kuanzisha timu ya kwake.
Mo anajionesha kivipi?Napenda sana mzee Bakhressa jinsi alivyojiweka, mzee wa watu sio mtu wa kijionesha tofauti na MO. Kwa Tanzania hii Bakhressa yuko juu, MO cha mtoto.
Hiyo bil 36 ni revenue sio gross profit. Unaniangusha mtaalamu wanguHiyo bl36 Sio faida hiyo ni gross profit.. Hapo tukitoa expenses, tax, nk inabaki kama 10
Sasa hivi inasemekana Azam Tv ina wateja milioni mbili ( 2000000*18000 = 36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania, Uganda, Kenya, Malawi na anazidi kujitanua nchi zingine.
Bado asset kama nyumba, magari, viwanja, viwanda. Je ni kweli Mo ni zaidi ya huyu mzee au ni publicity tu sisi vijana? Sikatai kwamba sio tajiri ila utata wangu kama kweli anamzidi huyu mzee.
Ni kweli Mkuu List iko hivi
1. Mo Dewji
2. Bakhresa
3. Baba yangu mzazi.
Hoja hapa sio kukopi hoja ninani tajiri zaidi ya mwenzie,alafu suala la kukopi ni suala la kawaida dunianiani .Mkuu turudi kwenye uhalisia tuache siasa. Tambi na viberiti ni bidhaa ambazo ziko sokon lakin hazitembei sana au hata km znatembe sana tayar zna washindani wakali. Tambi za MO zmekuja juzi tu tena hazna ubora kama umewah kuzitumia utanithibitishia hili hasa pale unapocompare na tambi kama za Santa Lucia ambazo znafanya vzr sokon kwa hapa kwetu Tanzania. Kuhusu viberti pia hzo bidhaa ameleta tu juz tayar tulikua na bidhaa kama kangaroo, rungu n.k ambazo hzo zote amezikuta znafanya vizuri. Kuhusu uwekezaji wa mataifa mengi afrika kuliko bakhera siwez kubisha maana sina taarifa za kutosha ni wapi amewekeza na kawekeza kwenye nini hasa. Lakin bakhera naye amewekeza Tz, kenya, uganda, congo, msumbiji, na pia south afrika. Yote kwa yote kuna kitu kimoja ambacho Mo anakifanya sidhan km kinampa "competative advantage" kulinganisha na wenzie, nacho ni kukopi kuliko pitiliza. Jamaa sokon hana bidhaa hata moja ambayo amebuni mwenyew nyingi ni cope and paste. Hii si mbaya ila ukikuta unayemkopi tayar amestabilize utakua unamark time tu. Mfano vinywaji vya hapa bongo 90 kamkopi azam, hizo tambi sijui viberti ndio usiseme ni cope tu na kuweka. Kuna kipindi amekuja mpka na baiskel za wajasiriamali kama bakhera alivyowapa wauza ice cream zake. Juzi juzi hapa kaja na ukwaju kama wa bakhresa. Nowonder hata Simba ndio maana anakomaa aimiliki na hatak kuanzisha timu ya kwake.
Hiyo bl36 Sio faida hiyo ni gross profit.. Hapo tukitoa expenses, tax, nk inabaki kama 10
Mo ni mjanja sana viwanda vyake vingi haviko Bongo kawekeza nchi nyingine za Afrika kama Zambia, Mauritius n.k.Hata ukiangalia kwenye hoja yangu cjajikita kwenye Tv. Tv imekuja 2013 km sikosei ila utajiri wa huyu mwamba ni toka miaka ya 80'
kuna mtu alinieleza juu juu lakini nikamwelewa kidogo.
kwamba utajiri wa ssb ameugawanya kwa watoto.hauhesabiki kama wa mtu mmoja,so kama ni $1.5 igawanye mara 6,mfano azam sport club ni ya mtoto,azam marine ni ya mtoto.sasa ukichukua kwa ujumla wake bado MO hagusi.
mimi binafsi huwa naangalia hata maisha ya muhindi MO,yako kawaida sana si kiboss kulinganisha na mtoto wa bakhresa au mzee mwenyewe.angalia gari anayotumia ni ya kawaida sana.labda sababu anasimama kama msimamizi.
[emoji23][emoji23][emoji23]MO ashanunuaga bajaj trucks, sijui zilikuwa na engine ya power tiller, kelele zake hatari hatari.
Kwa hiyo asionekane ili iweje?Kwani si anaonekana sana, tofauti na Bakhressa