Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

mo utajiri ni wa familia bakhressa utajiri kautafuta mwenyewe
 
hadi ukwaju duuh hana hata aibu.........
 
akitaka azam fc imlipe aigeuze kuwa soccer academy tu ajitahidi sana kuuza wachezaji nje ya tz
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nazikumbuka, kuna jamaa angu alikuwa anaendesha na ilibidi aache baada ya kuona ameanza kupata mattizo ya maskio kutosikia vizuri.
kipo vigunguti kelele zinaskika tazara.
uwekezaji wa mo hatari tupu.
 
Hata Mengi aliwahi kusema taarifa za Forbes ni za uongo na hawezi hata kuziamini,alisema hata umri wake yeye Forbes hawaujui wameishia kutunga wanao ona wao utafaa.
 
Kuna mtu kasema kuhusu mashamba na mifugo ukiacha viwanda je ulishawahi kusikia mashamba ya Bakhressa?...
 
Kuna vitu vingi hamjui kuhusu Mo maji masafi na juice ya pride na mafuta ya kula ya Safi vilianza kabla ya Bakhressa
 
Masafi yametimiza miaka 20 mwaka huu.
Kiwanda xha Unga kimetimiza miaka 50
Kuna vitu vingi hamjui kuhusu Mo maji masafi na juice ya pride na mafuta ya kula ya Safi vilianza kabla ya Bakhressa
 
Labda utajiri wa umaarufu lakn kwa pesa sidhan alafu mbona wanasema Mpunga ni Mali ya familia yeye ni kama msimamiaji
 
Choef usipate tabu na comment zangu, mi ni ku.waga pumba tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…