Ni kweli mpira tumecheza vizuri kocha kafanya kazi nzuri ila quality ya wachezaji ni mbovu

Ni kweli mpira tumecheza vizuri kocha kafanya kazi nzuri ila quality ya wachezaji ni mbovu

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea.

Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli.

Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na washabiki ndio kabisa mnawadhalilisha sana.

IMG-20240328-WA0777.jpg
 
Kolo no Kolo tu, Mbumbumbu FC au Mandunduka FC 🤣

Ila mpira umechezwa haswaa
 
Binafsi naona tulichokosa leo ni bahati tu...

Mpira tumecheza vizuri.
Sio swala la bahati ukiangalia kwa makini utagundua quality za wachezaji mmoja mmoja ni muhimu sana sana.

simba wamekosa kabisa quality kwa wachezaji wao na wenye quality ni za kuchechemea..

Hivi tujiulize inamaana yanga au mamelod au ahly ambao kila siku wao wanashinda tu ndio wanabahati sana utagundua ni quality za wachezaji ni msingi mkubwa sana kwa team.
 
Yule jamaa Coplo Samson Mbangula toka Prisons FC anaweza akacheza timu yoyote kubwa Afrika kama Al ahly hata ulaya timu ya Manchester united FC, tena kila first eleven yupo. Ni basi tu tunadharau wachezaji wazawa.
Ana misimu mingapi pale Prison? Umri wake je?
 
Ana misimu mingapi pale Prison? Umri wake je?
Yule jamaa yupo vizuri. Ni basi tu ni mzawa ndio maana sisi watanzania tunamdharau. Jamaa anafunga tu. Cheki highlights za mechi ya simba vs prisons. Movement zake, speed yake, maamuzi ya haraka na accuracy ya kufunga magoli ni kubwa mno. Hakosi namba Al Ahly, Wydad, Mamelody

Anaitwa Coplo Samson Mbangula toka Prisons FC


View: https://youtu.be/aSWtjv3zG0c?si=a9it8lNiTYGqN8JT
 
Mangungu si aondoke kwani timu ya kwake?

Wanachama wa timu wana matatizo kama hawaoni upupu anaofanya mwenyekiti wao
 
Back
Top Bottom