Sio swala la bahati ukiangalia kwa makini utagundua quality za wachezaji mmoja mmoja ni muhimu sana sana.Binafsi naona tulichokosa leo ni bahati tu...
Mpira tumecheza vizuri.
😂Ngoja msimu ujao Mangungu afanye usajili wa mshambuliaji hatari mno Coplo Samson Mbangula toka Prisons FC.
Yule jamaa Coplo Samson Mbangula toka Prisons FC anaweza akacheza timu yoyote kubwa Afrika kama Al ahly hata ulaya timu ya Manchester united FC, tena kila first eleven yupo. Ni basi tu tunadharau wachezaji wazawa.
Ana misimu mingapi pale Prison? Umri wake je?Yule jamaa Coplo Samson Mbangula toka Prisons FC anaweza akacheza timu yoyote kubwa Afrika kama Al ahly hata ulaya timu ya Manchester united FC, tena kila first eleven yupo. Ni basi tu tunadharau wachezaji wazawa.
Yule jamaa yupo vizuri. Ni basi tu ni mzawa ndio maana sisi watanzania tunamdharau. Jamaa anafunga tu. Cheki highlights za mechi ya simba vs prisons. Movement zake, speed yake, maamuzi ya haraka na accuracy ya kufunga magoli ni kubwa mno. Hakosi namba Al Ahly, Wydad, MamelodyAna misimu mingapi pale Prison? Umri wake je?
Umesoma na kuelewa swali alilokuuliza Bin inyasi? Au unabwabwaja tuu?Yule jamaa yupo vizuri. Ni basi tu ni mzawa ndio maana sisi watanzania tunamdharau. Jamaa anafunga tu. Cheki highlights za mechi ya simba vs prisons. Movement zake, speed yake, maamuzi ya haraka na accuracy ya kufunga magoli ni kubwa mno. Hakosi namba Al Ahly, Wydad, Mamelody
Anaitwa Coplo Samson Mbangula toka Prisons FC
View: https://youtu.be/aSWtjv3zG0c?si=a9it8lNiTYGqN8JT
Ni maoni tu.Umesoma na kuelewa swali alilokuuliza Bin inyasi? Au unabwabwaja tuu?
Wacha weeeee, wazee wa kucheza vizuri na kutokuwa na bahati.Binafsi naona tulichokosa leo ni bahati tu...
Mpira tumecheza vizuri.
Anachomaanisha ni utani na ambae hujelewa ni wwUmesoma na kuelewa swali alilokuuliza Bin inyasi? Au unabwabwaja tuu?