Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Watu wana roho ngumu sana siku hizi, toka walipoacha kuogopa maagizo ya mwenyezi MUNGU basi hawamuogopi shetani tena na wala mambo yake hawayaogopi.
Kuna dada m'moja wa kichagga wa marangu alikuwa hapa mtaani story ilikuwa kwamba amepata maambukizi ya virusi vya HIV.
Sasa cha ajabu vijana wa hovyo hawakuwa wakielewa hilo na walikuwa wanazidi kumtongoza utadhani ndio wamepewa sababu ya kuongeza bidii.
Akikuonyesha Sms anazotumiwa utacheka. Watu wanamkazia wanamuomba gemu wanataka mchezo. Kimsingi ukiwa na mke ikajulikana ana ngoma usishangae kuona vijana wa hovyo wanaongezeka zaidi.