Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Watu wana roho ngumu sana siku hizi, toka walipoacha kuogopa maagizo ya mwenyezi MUNGU basi hawamuogopi shetani tena na wala mambo yake hawayaogopi.

Kuna dada m'moja wa kichagga wa marangu alikuwa hapa mtaani story ilikuwa kwamba amepata maambukizi ya virusi vya HIV.

Sasa cha ajabu vijana wa hovyo hawakuwa wakielewa hilo na walikuwa wanazidi kumtongoza utadhani ndio wamepewa sababu ya kuongeza bidii.

Akikuonyesha Sms anazotumiwa utacheka. Watu wanamkazia wanamuomba gemu wanataka mchezo. Kimsingi ukiwa na mke ikajulikana ana ngoma usishangae kuona vijana wa hovyo wanaongezeka zaidi.
 
Mimi kidogo nipo tofauti, siamini kama kuna magonjwa ya kuambukiza.

Kuna siku watakuja kuafiki hili, ndio maana kuna kuja stori nyingi mara Kuna watu hawaambukizwi mara hivi mara vile.

Kama kweli Kuna magonjwa ya kuambukizwa, yule wa kwanza kabisa kuumwa alipata wapi huo ugonjwa ?

Akili inahitajika kufikiri juu ya mambo haya.
Unahitaji maombi
 
Mi ndio maana napenda bwawa, maji mengi...hii minato hapana aisee. Hivi tunavyoenda kavu ni hatari sana, tunapimana kwa macho tu na kujipa majibu kuwa hii ni -ve. Ona binti alivyo mrembo, lazima uende bare footed!
Kero ya bwawa ni bora unyetuke tu. Feeling yake ni kama kuweka maji ya uvuguvugu kwenye glass nyembamba halafu unachovya mashine yako mule. Sasa raha ipo wapi hapo?
 
Hakuna mbadala wa sumu.

Ukishabaini kwanini unapewa sumu utaelewa kwanini hauhitaji mbadala wa sumu.
Hujaeleza nini kifanyike ila unabwabwaja mkuu.

Unapopinga jambo hakiki kuwa na mbadala wa kile unachokipinga chief.
 
Hujaeleza nini kifanyike ila unabwabwaja mkuu.

Unapopinga jambo hakiki kuwa na mbadala wa kile unachokipinga chief.
Siwajibiki kukueleza chochote au kukuhakikishia lolote.

Ninaandika ninachotaka na ninavyotaka ikiwemo kubwabwaja na kubwata.
 
Matumizi sahihi ya dawa yanaounguza uwezekano wa maambukizi mapya.

Nadhani hata wizara ya afya ipo katika mpango kuwa hadi 2030 kusiwe na maambukizi kabisa ya HIV.

Tuwasisitive watu wapime na kutumia dawa ili kuendeea kulinda wengine.
 
Matumizi sahihi ya dawa yanaounguza uwezekano wa maambukizi mapya.

Nadhani hata wizara ya afya ipo katika mpango kuwa hadi 2030 kusiwe na maambukizi kabisa ya HIV.

Tuwasisitive watu wapime na kutumia dawa ili kuendeea kulinda wengine.
Weweee! Utaangamiza watu, achana na kukariri maneno kama kasuku!

Unatakiwa umakinike.
 
Hapo ukitaka kujua rangi halisi za uyo bidada, ingetokea uyo boy ndo angekuwa na iyo ngoma angekimbiwa kwa mbali kabisa.

wanawake ni viumbe wabinafsi sana yani akiwa nao anataka wew umbebe ivoivo na ngwengwe yake ila wew ukiwa nao apo ndo utajiju mwenyewe
 

Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.

Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu wasiogope UKIMWI?

Je, kuna watu hawaambukizwi HIV?

Ni kweli mtu akitumia vizuri dawa ARV haambukizi wengine?

Je, UKIMWI ni fix tu?
Watu kwa kuchezea uhai upendo gani huo wa kuparamia Kifo wazi wazi.
 
Back
Top Bottom