Ni kweli mtu mwenye chuma mwilini akifariki chuma hutolewa kabla ya kuzikwa?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia kile chuma huondolewa kabla ya kuzikwa?
 
Eti wa stendi et anauliza eti
 

Hapana, si kweli.
 
Eti na wewe unauliza eti.au kwasababu ya icho kijiti eti wa stendi ?
 
Ndio,yaani uondoke na mali ya watu yenye gharama kubwa kuliko pete ya gold na pingu ya silver?

Wengine watatumia nini endapo watapata majanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…