Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Sina uhakika na hilo ila katika jamii yetu mwanaume akifa na mkono wa sweta ( govi) lazima litolewa kwanza ndo azikwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaziuza tenaYaani kwamba zamani walikuwa wanakata rasta? Wanapeleka wapi?
Utakuwa unamuonea, unatakiwa umtokee aliyekukata ili ajute. Sasa huyo kazikuta sokoni atajuaje za marehemu.Wanauza kwa idhini ya nani? Wakinikata za kwangu huyo atayezinunua mbona atajuta! Nitakuwa namtokea kila siku
umefanya nisome tenaEti wa stendi et anauliza eti